
Upatikanaji dawa, vifaa tiba Muhimbili, Amana wafikia asilimia 97
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili na Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Amana Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili Nelson Faustine amesema hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia…