Category: Afya
Usipuuze uvimbe, jua dalili za saratani ya mitoki mapema
Na Mwandishi Maalumu , JamhuriMedia,Dar es Salaam Wananchi wametakiwa kutopuuza uvimbe unaodumu mwilini hususan ule usioambatana na maumivu badala yake wafike katika vituo vya afya kwa uchunguzi huku wakihimizwa kujenga utamaduni wa kutambua dalili za saratani ya mitoki mapema. Wito…
Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu
……..Kambi maalum inaanza Jumatatu hadi Septemba 11 Na Mwandishi Wetu HOSPITALI ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeandaa kambi maalum kufanya upasuaji wa kupunguza uzito kwa kutumia matundu madogo kuanzia Agosti 31 mpaka Septemba 11. Daktari…
Wananchi jiungeni na bima ya afya kuepua gharama kubwa za matibabu-Dk Subi
Na Mwandishi Wetu WANANCHI wamekumbushwa umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa wote ili kujiweka tayari pindi wanapougua wao au ndugu zao ambao ni wanufaika wa bima hiyo, hatua itakayosaidia kuepuza gharama kubwa za matibabu. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi…
Mchengerwa: Sitakubali kuhujumiwa
*Aapa kuilinda NHIF kwa nguvu zote dhidi ya wajanja *Kicheko matibabu saratani, safari za India kubaki historia *Malawi kuanza kuleta wagonjwa 1,900 Ocean Road Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameapa kupambana na magenge ya watu…
Tanzania, Algeria kushirikiana katika upatikanaji dawa salama
Tanzania na Algeria zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha uhusiano kwenye upatikanaji na uzalishaji wa dawa zenye usalama, ubora na ufanisi katika nchi hizo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Dawa nchini Algeria alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wizara ya Afya…
Nusu saa inakutosha tembea pekupeku kila siku
KWA mujibu wa utafiti daktari wa masuala ya afya ya binadamu Hamisi Kote Ali, amegundua kuwa, kugusa ardhi moja kwa moja kwa ngozi ya miguu husaidia kusawazisha chaji ya umeme mwilini. Anasema hali hiyo inajulikana kama ‘earthing’ au ‘grounding’, inaweza…





