Category: Sitanii
Tuheshimu sekta binafsi, fedha zao
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita miongoni mwa mambo aliyofanya Rais Samia Suluhu Hassan ni pamoja na kushajihisha serikali kuipa nafasi sekta binafsi. Amesema anatamani kuona sekta binafsi inakua kama ilivyokuwa enzi za Rais Bejamin Mkapa. Sitanii, saa chache baada ya…
Miaka 30, Rais Samia amefungua milango
Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Julai 1, 2022 Tanzania imetimiza miaka 30 tangu mfumo wa siasa za vyama vingi urejee hapa nchini. Wakati mfumo huu ukirejea mwaka 1992, ilikuwapo hofu kubwa katika sehemu mbalimbali za nchi hii. Wengi walivihusisha…
Waziri Dk. Mwigulu epuka kodi za kero
Na Deodatus Balile, Dodoma Wiki iliyopita nilikuwa katika Ukumbi wa Bunge. Nilimsikiliza kwa umakini mkubwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, wakati anawasilisha bajeti ya wizara yake. Dk. Mwigulu alieleza kuhusu maeneo mengi hasa kilimo kwa ufasaha mkubwa…
Rais Samia LNG ni dili, tusaini
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita zimekuwapo taarifa za Tanzania kuwa katika mchakato wa kusaini mkataba wa kuanza ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha gesi ya LNG mkoani Lindi. Mkataba wenyewe ni wa dola bilioni 40, karibu Sh trilioni 70 za Tanzania. …
Brela ikabidhiwe kazi ya kutoa leseni zote
Na Deodatus Balile, Morogoro Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya biashara nchini katika mkutano na Jukwaa la Wahariri Tanzania. Mtendaji Mkuu wa Brela, Godfrey Nyaisa, ameeleza mfumo wa kusajili biashara kupitia mtandaoni…
Rais Samia analiunganisha tena taifa
Na Deodatus Balile Leo naomba nianze makala yangu kwa kumnukuu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kauli aliyoitoa baada ya tukio la Septemba 7, 2017 alipopigwa risasi 16, na baadaye akawa kwenye matibabu nje…