Makamanda 1267 waendelea kutafuta miili Hanan’g, misaada yote kuelekezwa Ofisi ya Waziri Mkuu

Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Hanan’g Jumla ya makamanda wapatao 1267 wanaendelea na shughuli mbalimbali katika eneo la wahanga wa maporomoko ya udongo yaliyotokea Novemba 3,2023 huko wilayani Hanang, ambapo kufuatia zoezi linaloendelea wamefanikiwa kuipata miili mingine miwili na kuweka jumla ya idadi ya vifo 65. Hayo yamebainishwa leo Desemba 5,2023 na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati…

Read More

Prof Mkenda : Walimu wakuu kuweni makini na zawadi, misaada inayotolewa mashirika shuleni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Waziri wa Elimu ,Prof.Adolf Mkenda ametoa rai kwa walimu wakuu nchini kuwa makini na mashirika binafsi , Taasisi zisizo za Kiserikali zinazokwenda kwenye shule zao kutoa misaada ikiwemo miswaki, vidonge kwa wanafunzi ili kuondokana na sintofahamu za misaada hiyo. Aidha amewataka Wakurugenzi wa halmashauri kutoa fursa za ruksa kwa walimu…

Read More

Tanzania yaisihi Marekeni kuendeleza mchango katika kutokomeza UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Mataifa ya Afrika Kusini na Msumbiji yameisihi Serikali ya Marekani kuidhinisha fedha zitakazochangia katika mwitikio wa UKIMWI kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa UKIMWI (PEPFAR). Rai hiyo imetolewa Novemba 30, 2023 wakati wa mjadala wa…

Read More