
Tanzania na Qatar zajadili ajira wakati wa Kombe la Dunia
Tanzania imeihakikishia Qatar kuwa ipo tayari kutoa vijana watakaoweza kufanya kazi nchini humo, hususan katika kipindi hiki ambacho mahitaji ya nguvukazi ni makubwa kutokana na nchi hiyo kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa Kombe la Dunia yatakayochezwa mwezi Novemba 2022. Hayo yalielezwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara…