
MSD : Upatikanaji wa dawa nchini umeimarika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), Mavere Tukai amesema amesema kuwa upatikanaji wa dawa nchini umefikia asilimia 81 mwezi Juni 2023 kutoka asilimia 57 mwezi Juni 2022 jambo ambalo limechangia kurahisisha utoaji huduma nchini. Ameyasema hayo leo Septemba 27, 2023 jijini Dar es Salaam wakati wa kikao kazi na…