Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh  Dkt. Abubakar Bin Zubeir, nyumbani kwa Mufti Magomeni jijini Dar es salaam, Julai 4.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)