Category: Habari Mpya
Tanzania, India kuendelea kuimarisha ushirikiano
Tanzania na India zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kindugu kuliopo baina ya mataifa hayo mawili. Hayo yamejadiliwa katika mazungumzo kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe…
Wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za uchumi na kulinda haki za watoto wenye ulemavu
…………………………………………………………………. Na Jackline Minja, WMJJWM, Mbeya Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali itaendelea kusimamia haki za wanawake na wasichana pamoja na kuwawezesha kiuchumi ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika maendeleo ya…
JKCI yawafikia waumini KKKT Mbezi Beach kwa huduma za kibingwa
Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Jumla ya Waumini 93 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mbezi Beach wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa mbalimbali yakiwemo ya moyo katika jitihada za kusogeza huduma za kibingwa karibu na…
Serikali yaendelea kujidhatiti udhibiti magonjwa adimu
Na Hassan Kimweri, WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya, inaendelea kujidhatiti kwa kuimarisha mifumo ya huduma za afya kupitia tafiti mbalimbali ili kuhakikisha wagonjwa wenye magonjwa…
Milioni 30 zatolewa kusaidia watoto wanaotibiwa JKCI
…………………………………………….. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wanawake wanaoshiriki mafunzo ya Female Future Program msimu wa 11, yanayotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) wamechangia shilingi milioni 30 kusaidia matibabu ya moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo…
Viongozi wa vijiji, mitaa na vitongoji ndio msingi wa maendeleo, tushiriki uchaguzi
Na Bwanku M Bwanku Nchi yetu kwa sasa inaendelea na michakato mbalimbali kuelekea kwenye tukio kubwa na muhimu la uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, takribani wiki ikiwa imebaki. Tayari michakato mingi kuelekea tukio hili…





