JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Katibu wa CHADEMA Manyara Arejea CCM

Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Meshack Turento ametangaza kujivua wadhifa huo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi akidai chama hicho (CHADEMA) imewatelekeza. Akizungumza jijini Arusha Turento alidai kuwa, kabla ya kujiunga…

MAJALIWA: Tutawashughulikia Wote Wanaotumia Vibaya Fedha Za Ukimwi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia watu wote wanaotumia vibaya fedha za umma ambazo zinapaswa kuleta maendeleo kwa wananchi, zikiwemo na za Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi. Amesema mfuko huo unalenga kufanikisha ukusanyaji wa fedha za kutosha amabazo ni…

Waziri Mkuu Apokea Vifaa Vya Mashindano Ya Majimbo

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kwa ajili ya kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo ya mkoa wa Dar es Salaam.   Vifaa hivyo vimetolewa na Muwakilishi wa Jimbo…

Wananchi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki Kuingia Kenya Kwa Kitambulisho Cha Taifa Tu

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza neema kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kuruhusu kuingia nchini humo kwa kutumia kitambulisho cha taifa tu na kupewa haki zingine kama raia wa Kenya. Taarifa hiyo imetolewa leo na Rais Uhuru Kenyatta alipokuwa…

Samia Suluhu Amwakilisha Rais Magufuli Kenya

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Mjini Nairobi nchini Kenya ambako anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za…