JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

MASOUD KIPANYA AJITOKEZA MITANDAONI NA KUANDIKA HAYA

Jana jioni kwenye mitandao ya kijamii ilizuka taarifa kuwa Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Kanda maalum Dar es Salaam kutokana na kati ya michoro yake ya katuni ikionekana kama inaigombanisha Serikali na Wananchi, hata hivyo kituo cha Redio Clouds…

HIVI NDIVYO RAIS MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE ALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2018 MSOGA

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt….

JPM ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA KENYATTA

Rais Dkt Magufuli  amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ajali kati ya basi la abiria na lori la mizigo, iliyopelekea vifo vya watu takribani 36 na wengine kujeruhiwa iliyotokea jana asubuhi.

PPF WAMKANA MFANYAKAZI WAO ALIYEKAMATWA NA MIRUNGI

MFUKO wa Pensheni wa PPF umesema mfanyakazi wake, Anitha Oswald, wa ofisi ndogo ya Moshi aliyekamatwa wiki hii akiwa na madawa ya kulevya aina ya mirungi huko Moshi, Kilimanjaro, alikuwa kwenye likizo ya dharura na kwamba alikamatwa akiwa kwenye gari…

MTANGAZAJI WA UHURU FM, LIMONGA JUSTINE LIMONGA AFARIKI DUNIA

Tanzia: Mtangazaji wa kipindi cha Michezo cha Uhuru FM Justin Limonga amefariki Dunia Leo asubuhi katika hospital ya TMJ alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. R.I.P Mpendwa wetu Limonga

JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU LA DAR ES SALAAM LATOA TATHMINI YA MATUKIO YA UHALIFU MWAKA 2017

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Desemba 29, 2017 limetoa ripoti yake ya matukio ya kihalifu na oparesheni mbalimbali zilizofanywa na jeshi hilo kwa mwaka 2017. Akizungumza na waandishi wa…