Moto Wateketeza Maduka Mbagala

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana huu.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme.

Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa mali sambamba na kuzuia usisambae kwenye maduka mengine zinaendelea.