Jamhuri

Oxfarm: Kilimo kitaondoa umaskini

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Shirika la Oxfarm Tanzania limewaasa wadau wa maendeleo nchini kuweka kipaumbele katika sekta ya kilimo ili kutokomeza umaskini. Akizungumza katika warsha ya wiki mbili iliyowakutanisha wadau wa kilimo nchini, Ofisa Ushawishi wa shirika hilo, George Mwita, amesema kilimo ndiyo sekta inayochukua kundi kubwa la wajasiriamali na wazalishaji mali nchini….

Read More

‘Balozi’ Alphayo Kidata kufikishwa mahakamani

Kuna kila dalili kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, atafikisha mahakamani Kisutu muda wowote kuanzia sasa kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kidata aliapishwa Mei 10, mwaka huu kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, alikokwenda kuziba…

Read More

Mchati: Mti wa thamani unaotoweka Mafia

Licha ya ukweli kuwa uoto wa asili wa Kisiwa cha Mafia unafanana kwa kiasi kikubwa na uoto wa asili wa visiwa jirani vya Pemba na Unguja na maeneo ya Bara yaliyopo jirani kama Kisiju na Rufiji, watafiti Rogers na Greenaway (1988) waliokuwa wakidurusu uoto wa Kisiwa cha Mafia walishangazwa mno na kiwango kikubwa cha upekee…

Read More

Benki Kuu yaichunguza BOA

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza kuichunguza Benki ya BOA ambayo Gazeti la JAMHURI limeandika kwa wiki mbili mfululizo kuelezea jinsi inavyochezea dhamana za wateja, JAMHURI limeelezwa. Wateja wengi wa BOA wamejitokeza na malalamiko ya aina mbalimbali dhidi ya benki hii yenye kuonyesha ukiukwaji mkubwa wa Sheria ya Benki na Maduka ya Fedha ya Mwaka…

Read More

Amri ya DC Moshi yamchefua Askofu, wananchi Vunjo

Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Martin Shao, amepinga amri ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Moshi, Kippi Warioba, kuzuia ujenzi wa barabara vijijini katika Jimbo la Vunjo. Barabara hizo zinajengwa kwa nguvu za wananchi kwa kushirikiana na Taasisi ya Maendeleo Vunjo (VDF). Askofu Shao ambaye ni…

Read More

Makamu wa Rais: Ole wenu wavamia hifadhi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kwa wananchi wenye tabia ya kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya maeneo ya hifadhi, akiwataka waache mara moja na wale watakaoendelea wasije kuilaumu serikali kwa hatua itakazochukua dhidi yao. Ameyasema hayo wakati akizindua rasmi Jeshi Usu ambalo limepewa jukumu la kulinda maliasili za nchi, ikiwemo wanyamapori na…

Read More