Jamhuri

‘If you can’t fight them, join them’ (2)

Sehemu iliyopita mwandishi wa makala hii alirejea hadithi iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kuhusu msichana mzuri aliyekuwa akichumbiwa. Akaeleza namna Mwalimu alivyohakikisha hageuki jiwe katika kuijenga nchi kwenye misingi ya kijamaa. Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya makala hii. Endelea… Basi, kwa ustaarabu wa wenzetu kule ‘majuu’, mtu…

Read More

Tuwe waangalifu kilimo kimejaa hadaa, hujuma

Historia duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni. Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji ya viwanda vya wenzetu. Ikawa piga ua lazima…

Read More

Kazi si balaa, kazi ni baraka 

Binadamu anaposhirikiana na binadamu wenzake katika kufanya kazi huwa hana budi kutimiza mambo matatu; wajibu, uwezo na kujituma. Anapotimiza haya hupata maendeleo yake na ya wenzake.  Hii ni moja ya taratibu za binadamu katika kufanya kazi. Watanzania hatuko nje ya utaratibu huu. Lakini baadhi yetu hatufuati mambo haya kwa sababu tunadhani au tunaamini kazi ni balaa, kazi…

Read More

Yah: Adha ya mlalahoi wa Kitanzania

Nichukue fursa hii kutoa salamu zangu za dhati kwa mtu ambaye alikuwa akijulikana kwa jina la mlalahoi miaka michache baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini. Jina hili tulipewa kundi fulani na wanasiasa wetu kwa lengo la kutuonyesha tofauti tuliyonayo sisi na baadhi ya wafanyabiashara au wafanyakazi wakati huo. Walalahoi tulijijua…

Read More

Ndugu Rais njia yetu ni moja

Ndugu Rais, imeandikwa kuwa mwanadamu ni mavumbi. Mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi! Ulitoka kwa udongo na utarudi kwa udongo! Kati yetu sisi wote hakuna atakayekufa halafu jeneza lake lihifadhiwe dalini au juu ya mti kama mzinga wa nyuki. Haijalishi litakuwa na thamani ya kiasi gani na wala haijalishi kama litafunikwa sanda ya bendera ya taifa…

Read More

DAWASA yaongeza mapato

Rais Dk. John Magufuli ametimiza miaka mitatu madarakani. Katika kipindi hiki taasisi kadhaa za serikali zimekuwa zikielezea mafanikio yaliyopatikana katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika kutekeleza azima ya kuelezea kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA),…

Read More