Jamhuri

Uonevu kwa wakulima ufikie tamati

Tunapongeza hatua iliyochukuliwa na serikali kwa wakulima wa korosho. Japo matokeo ya uamuzi huo hayajajulikana, lililo la msingi ni kuwa serikali imeonyesha kuwajali wananchi hao. Historia inaonyesha kuwa kwa miongo mingi wakulima wa mazao ya aina zote wamekuwa wakidhulumiwa licha ya matamko mengi ya kuwatia moyo. Ufisadi mkubwa umekuwapo kwenye sekta hii kiasi cha kuwafanya…

Read More

Inawezekana kufanyika, fanya sehemu yako

Miongoni mwa maneno muhimu na ninayoyakubali kwa asilimia mia yaliyowahi kusemwa na Mwalimu Julius K. Nyerere, ni haya: “Inawezekana kufanyika, timiza wajibu wako.” Tumezoea kusikia watu wengi wakilalamika; na ngao kubwa ya kutofanya mambo makubwa huwa wanajikinga na ngao ya umaskini. Utasikia wakisema: “Kwetu tulikuwa maskini wa kutupwa, wazazi wangu hawakuweza kumudu kununua hiki na…

Read More

Kesi ya Jaji Warioba, TBA kusikilizwa mwakani

Kesi iliyofunguliwa na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Warioba, dhidi ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), imeahirishwa hadi Februari 11, mwakani. Jaji Warioba ambaye pia amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, anapinga kufukuzwa katika nyumba Na. 501/13 iliyopo Barabara ya Ghuba, Oysterbay jijini Dar es Salaam kutokana na mgogoro…

Read More

Maajabu ya Ngorongoro

Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) ina eneo la ukubwa wa kilometa 8,300 za mraba – lenye mchanganyiko wa pekee wa sura ya nchi, wanyamapori, wanyama wafugwao na mambo ya kale. Hifadhi hii ilianzishwa mwaka 1959 chini ya Kifungu cha Sheria Na. 413 kuwa eneo lenye kuhifadhi maliasili, kulinda mila na kuendeleza masilahi ya wenyeji wafugaji waishio…

Read More

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (7)

Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema: “Mkakati wake [Raila Odinga] kuitisha kura za maoni kubadilisha Katiba nadhani umefikia tamati. Asante rais kwa kutia mkono wako katika uteuzi wa Odinga na kumshawishi akaukubali,” anasema Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro.” Je, unafahamu kuwa kabla ya uteuzi huu Odinga alikataa uteuzi mara kadhaa? Endelea… Odinga aliwahi…

Read More

Sababu za kutosikia kwa ufasaha

Mawimbi ya sauti yanaingia kwenye sikio la nje kupitia mfereji wa sikio; hivyo kusababisha ngoma ya sikio na ile mifupa midogo midogo milaini sana ndani ya sikio inayojulikana kama ngoma ya sikio iliyopo katika sikio la kati kutetemeka. Kutetemeka kwa ngoma ya sikio kunaruhusu mitetemo hii ya sauti isafiri hadi kwenye sehemu inayoitwa ‘koklia’. Koklia…

Read More