JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

ACT-Wazalendo yamwangukia Waziri Majaliwa sakata la malipo Mbagala

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama Cha ACT-Wazalendo kimemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,kulifuatilia sakata la malipo ya waathirika wa mabomu ya Mbagala na kuchukua hatua walioshughulikia suala hilo kwani kuna harufu ya udanganyifu,ubaguzi na uonevu. Rai hiyo imetolewa leo Februari 1, 2023…

Kevela: Tuache kuchangia michango kwa wanaotaka kuoa ama kuolewa

Yono Kevela ambaye ni mbunge mstaafu wa Jimbo la Wanging’ombe mkoani Njombe amewashauri Watanzania kuacha kuchangia michango mikubwa kwa watu wanaotaka kuoa ama kuolewa badala yake waongeze nguvu ya michango kwa watoto ili waweze kupata elimu. Amesema hayo wakati akizungumza…

Makamu wa Rais ateta na mwenyekiti wa bodi wa AGRA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa…