Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.Kemilembe Mutasa amefungua mafunzo kwa mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu wa Mkoa wa Arusha kuhusu njia bora za kuhudumia (service) vifaa hivyo kwa kutumia gesi pasipo kuharibu tabaka la ozoni jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yanayofanyika leo Septemba 16, 2022.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Kemilembe Mutasa (mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa kutoka wizarani mara baada ya kufungua mafunzo kwa mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu wa Mkoa wa Arusha kuhusu njia bora za kuhudumia (service) vifaa hivyo kwa kutumia gesi pasipo kuharibu tabaka la ozoni jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yanayofanyika leo Septemba 16, 2022.
Baadhi ya mafundi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.Kemilembe Mutasa katika mafunzo kwa mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu wa Mkoa wa Arusha ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yanayofanyika leo Septemba 16, 2022.

By Jamhuri