‘Nchi yetu haina dini’

Nchi yetu haina dini. Haya ni maneno maarufu katika masikio ya Watanzania. Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake maneno haya aliyasema mara kwa mara. Katika moja ya hotuba zake, alisema: “Siku moja nikiwa Zanzibar, kuna masheikh, wamevalia baragashia, nikawa nimealikwa kama mgeni rasmi. Nilipowaona wale masheikh nikasema hapa…

Read More