
Lupaso baada ya Mzee Mkapa
Mwaka 2004 tukiwa katika ziara ya Waziri wa Maji na Mifugo, Edward Lowassa, tulizuru kwa mara ya kwanza Kijiji cha Lupaso kilichopo Masasi mkoani Mtwara. Lupaso ndipo alipozaliwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa. Umaarufu wa Lupaso hautofautiani sana na vijiji kama Butiama, Msoga na hivi karibuni kabisa – Chato. Miaka 17 baadaye,…