
UVCCM Zanzibar yamshauri msajili kukifuta chama cha ACT-Wazalendo
Na Is- Haka Omar, JamhuriMedia, Zanzibar UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Zanzibar,umemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mtungi,kufuta usajili wa Chama cha ACT-Wazalendo kutokana na kufanya siasa za chuki,fitna na kumdhalilisha Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi, kupitia mikutano yao ya hadhara kisiwani Pemba. Ushauri huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu…