JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita

Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limetangaza kuwa operesheni za kijeshi za Israel zimesababisha vifo vya watu 32 katika Ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa msemaji wa shirika hilo jana, Mahmud Bassal, watu wanane wameuawa kwenye mashambulizi mawili yaliyolenga…

Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu

Rais wa Kenya William Ruto amesema anajenga kanisa katika Ikulu jijini Nairobi ambalo atagharamia mwenyewe – na kuongeza kuwa hana sababu yoyote ya kuomba msamaha. “Sitamwomba mtu yeyote msamaha kwa kujenga kanisa. Shetani anaweza kuwa na hasira na anaweza kufanya…

Trump :Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda

Rais wa Marekani Donald Trump alisema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wake, baada ya kuzungumza na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, na kueleza kukatishwa tamaa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kushindwa kusitisha mapigano. Trump…

JKCI yatoa elimu ya lishe kwa kutumia pyramid ya vyakula halisi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi wanaotembelea banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) lililopo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam wanapata elimu ya lishe bora inayotolewa kwa vitendo kwa kutumia…