Mauaji gerezani

*Nyampala auawa akidaiwa ‘kuiba’ mahindi ya Mkuu wa Gereza  *Mpambe wake anusurika kifo kwa kipigo, alazwa ICU Muhimbili *RPC agoma kuzungumza, aukana mkoa wake akidai yeye ni RPC Mtwara Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Wakati taifa likifikiria namna sahihi ya kukomesha mauaji ya mara kwa mara yanayotokea nchini, hali si shwari hata ndani ya…

Read More

Mbatia azidi kubanwa mikoani

KATAVI Na Walter Mguluchuma Chama cha NCCR-Mageuzi mkoani hapa kimeunga mkono maazimio ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho kumsimamisha uenyekiti James Mbatia na makamu wake, Angelina Mtahiwa. Akitoa tamko la chama la mkoa, Kamishna wa NCCR Mkoa wa Katavi, Rajabu Makana, amelaani kundi linalomuunga mkono Mbatia lililojaribu kuwashawishi viongozi wa mikoa mbalimbali kupinga…

Read More