Daily Archives: January 1, 2018

MAMBOSASA: MWENYE TAARIFA YA MASUDI KIPANYA KUKAMATWA ATUAMBIE KITUO GANI KAKAMATWA

Majira ya jioni leo Januari Mosi 2018 zimesambaa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya uchochezi. Taarifa hizo zinadai kuwa, Masoud Kipanya ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds FM, amekamatwa na Polisi baada ya kuchora katuni ambayo inajenga uhasama kati ya wananchi na serikali. Baada ya ...

Read More »

TUNDU LISU: BADO NINA RISASI MWILINI MWANGU

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika huku akiendelea na mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma mnamo Septemba 7, 2017. Akizungumza katika mahojiano maalum na Kituo cha Runinga cha Azam TV, Lissu ameeleza namna alivyoshambuliwa huku akisema ...

Read More »

KATIBU MKUU WA CUF, MAALIM SEIF AMPONGEZA RIS MAGUFULI

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kwa kuiongoza nchi vizuri kwa mwaka uliopita wa 2017. Seif ametoa pongezi hizo katika salamu zake za mwisho wa mwaka ambapo alisema kwamba, kwa mwaka 2017, Rais Magufuli ameweza kuiongoza nchi vizuri kwa kudhibiti rushwa pamoja na ubadhirifu ...

Read More »

PROF ABDALLAH SAFFARI: Haja ya Kuwa na Mahakama ya Juu Tanzania

Tarehe 9 Desemba mpiga solo mahiri Tanzania kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Nguza Viking, kwa lakabu ya muziki, Big Sound alitoka Gereza la Ukonga, Dar es Salaam ambako alikuwa akitumikia kifungo cha maisha. Aliachiwa baada ya kunufaika na msamaha wa Rais John Magufuli alioutoa kwa baadhi ya wafungwa wapatao elfu nane katika hotuba aliyoitoa mjini Dodoma kusherekea siku ...

Read More »

HIVI NDIVYO RAIS MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE ALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2018 MSOGA

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt. Kikwete kijijini kwake Msoga, usiku huu. Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia fataki angani wakati wa sherehe ya kuukaribisha ...

Read More »

JPM ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA KENYATTA

Rais Dkt Magufuli  amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ajali kati ya basi la abiria na lori la mizigo, iliyopelekea vifo vya watu takribani 36 na wengine kujeruhiwa iliyotokea jana asubuhi.

Read More »

SINGIDA KASKAZINI KUMEKUCHA, CCM WAPIGA FILIMBI YA KUTAFUTA KURA KWA WANANCHI

Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Singida kaskazini wakiwa kwenye viwanja vya mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Mtinko,singida vijijini juzi. Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Singida kaskazini wakiwa kwenye viwanja vya mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Mtinko,singida ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 1, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatatu Januari,01, 2018 nimekuekea hapa HAPPY NEW YEAR

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons