Makala

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Tushirikishe watu katika maendeleo

“Kama maendeleo ya kweli ni kuchukua mahali, watu wanapaswa kushirikishwa.”

Hii ni sehemu ya maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kitabu chake cha Uhuru na Maendeleo, 1973.

Read More »

Uchumi ndiyo lugha ya Afrika Mashariki

Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikiandika waraka wa kiuchumi kwa wafanyakazi. Kwa ujumla wake, waraka huo utaendelea hadi sehemu ya 10. Kutokana na urefu huo, nimepanga kutouleta kwa mfululizo wa wiki zinazofuatana, badala yake nitakuwa ninauleta kwa wiki tofauti, mwaka huu.

Read More »

Tunataka Katiba halisi  ya kudumu

Kama tujuavyo, hivi sasa Taifa letu liko katika mchakato wa kutafuta Katiba mpya ya nchi.

Katiba tunayotafuta sasa itakuwa nafasi ya katiba ya kudumu iliyoanza  kutumika mwaka 1977. Katiba ya nchi tunayotaka kuachana nayo imedumu kwa mbinde kwa sababu ina kasoro nyingi zilizoanza kupigiwa kelele tangu mwaka 1992, wakati Tanzania ilipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

Read More »

Uzalendo wa Dk. Reginald Mengi

 

 

*Asaka ufumbuzi wa matatizo ya Watanzania nje ya nchi

*Ateta na mabalozi wa nchi mbalimbali, waonesha nia

Hakika juhudi zake hizi zinadhihirisha jinsi alivyo mzalendo mwenye dhamira ya kuona uchumi wa nchi unakua kama si kustawi,  na maisha bora yanawezekana kwa kila Mtanzania.

Read More »

‘Privatus Karugendo anapotosha’

Privatus Karugendo, katika makala yake iliyochapishwa chini ya kichwa cha maneno, “Papa Benedict wa XVI Mfungwa wa imani anayetaka kuwa huru”, iliyoandikwa Februari 17, 2013, kurasa 11, 12 na 13, angeweka wazi kwamba Papa Benedict huyo aliwahi, kabla ya Aprili 5, 2009, kumvua madaraka ya shughuli za upadri, pengine nisingekuwa na hamu ya kuandika makala haya.

Read More »

Udini sasa nongwa (1)

 

Siku za karibuni kuanzia wakati ule wa Sensa ya Watu na Makazi, neno UDINI limekua na linasikika mara kwa mara. Katika baadhi ya magazeti kama JAMHURI, kuna mfululizo wa makala za udini, mathalani makala za Ndugu Angalieni Mpendu – FASIHI FASAHA.

Read More »

CCM irudishe mali za umma serikalini

Tanzania ilikuwa nchi inayofuata mfumo wa chama kimoja hadi mwaka 1992, wakati nchi wahisani za magharibi ziliposhinikiza nchi zote duniani zinazoendelea, kuanzisha mfumo wa vyama vingi kama ishara ya kujenga misingi bora ya demokrasia kwa jamii.

Read More »

NUKUU ZA WIKI 68

Nyerere: Tunamtaka rais anayechukia rushwa

"Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais atakayelitambua hilo, atakayeichukia rushwa hata ukimuangalia aoneshe kweli anaichukia rushwa, sio rais anayesema kweli rushwa ni adui wa haki.... lakini ukimwangalia usoni unashangaa na kusema.... aaaah kweli huyu?”

Maneno haya ni ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Read More »

Waraka wa uchumi kwa wafanyakazi (2)

Wiki iliyopita niliandika sehemu ya kwanza ya waraka huu. Pamoja na mambo mengine, nilichambua kwa kina sababu moja kati ya tatu zilizonisukuma kuwaandikia waraka huu.

Read More »

ASKOFU NZIGILWA:

Moyo wa binadamu uwanja wa mapambano

Wiki iliyopita, JAMHURI imefanya mahojiano maamulu na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebins Nzigilwa, ambaye ametoa mtazamo na ushauri wake kuhusu matatizo mbalimbali yanayoikabili nchi.

Read More »

Utawala Bora hutokana na maadili mema (5)

 

Mwaka 1980 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , walikuwa na Mkutano wao Mkuu wa Chama katika jeshi. Mkutano ule wa kihistoria ulisimamiwa na Kamisaa Mkuu wa JWTZ na ambaye alikuwa katika Sekretarieti ya Chama – upande wa Oganaizesheni, Hayati Kanali Moses Nnauye, akisaidiwa na kada wa chama, Luteni Jakaya Kikwete Makao Makuu ya Chama.

Read More »

Nukuu ZA WIKI

Nyerere: Wafanyakazi wasinyonywe, waheshimiwe

“…wafanyakazi wa Tanzania wamelindwa wasinyonywe na matajiri wao, watu binafsi, na hata mashirika ya umma. Kila mfanyakazi apate heshima yake kama binadamu.”

Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Nyerere aliyasema haya kukemea unyonyaji dhidi ya wafanyakazi.

Read More »

Waraka wa uchumi kwa wafanyakazi

Leo nina neno kwa wafanyakazi waliopo katika sekta mbalimbali za umma na za binafsi. Nimeamua kuandika waraka huu wa uchumi kwa wafanyakazi kutokana na sababu kuu tatu. Mosi, uwepo wa mbinyo wa kuongezeka kwa gharama za maisha ikilinganishwa na vipato halisi vya wafanyakazi.

Read More »

Tunaongoza kwa sikukuu nyingi zisizo na tija

 

Kufanya kazi ndiyo msingi wa maisha yetu ya kila siku, hususan jamii yetu ya Kitanzania ambayo wimbo mkubwa ni ukosefu wa ajira pamoja na ugumu wa maisha unaoongezeka kila kukicha.

Read More »

Ziwa Victoria hatarini, tushirikiane kulinusuru

Tanzania imejaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na rasilimali lukuki za kila aina. Rasilimali hizi ni pamoja na wanyama, milima, ardhi nzuri, mito, watu, maziwa, ndege, bahari, samaki na madini ya aina mbalimbali.

Read More »

Mkuu Usalama wa Taifa aking’oka tutapona?

Katika Gazeti la Raia Mwema la Februari 20-26, 2013, kuna makala yenye kichwa cha habari kisemacho “Mkuu wa Usalama wa Taifa Ang’oke”.

Read More »

Utawala Bora hutokana na maadili mema (4)

 

Katika “decentralization” kulitokea vituko katika utawala. Mtu kama daktari wa mifugo kasomea mifugo (shahada ya veterinary) eti anateuliwa kuwa Afisa Tawala Mkuu wa Mkoa (Regional Administrative Secretary). Mkuu wa shule ya sekondari anateuliwa kuwa Afisa Utumishi Mkoa (Regional Personnel Officer) na kadhalika, na kadhalika. Utawala wote ukavurugika mara moja.

Read More »

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Tuwe makini kuchagua viongozi “Hatari moja ya kuendelea kumchagua mtu yule yule kipindi hata kipindi huweza kuleta hofu na wasiwasi nchini.” Haya ni maneno ya Baba wa taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Gurdjief: Binadamu huwa anabadilika “Binadamu hawezi kubaki hivyo alivyo kwa muda mrefu. Kila wakati anabadilika. Ni mara chache anaweza kubaki hivyo alivyo.” Kauli hii ilitolewa na ...

Read More »

Njia bora ya kulinda biashara yako

Wiki iliyopita niliandika makala yaliyokuwa na kichwa “Unahitaji gia ya uvumilivu kumudu biashara”. Nilieleza visa kadhaa vilivyonitokea katika harakati za kibiashara. Mamia ya wasomaji kutoka pande mbalimbali za nchi wameonesha kuguswa na yaliyowahi kunitokea.

Read More »

Ni ujinga CHADEMA kupinga uzazi wa mpango – (3)

Fikiria maisha ya mijini, vyumba vya kupanga utaishia kulaza watoto wanne katika chumba kimoja, katika kitanda kimoja na ndani ya chandarua kimoja. Lakini pia katika maisha ya vijijini gharama zimepanda hata kama unaishi kwenye nyumba yako.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons