Tag Archives: necta

Breaking News: Tazama Matokeo ya Kidato Cha Nne 2017, Yapo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu. Orodha ya Shule 10 Bora. 1. St. Francis Girls – Mbeya 2. Feza Boys – Dar es Salaam 3. Kemoboya – Kagera 4. Bethel Sabs Girls – Iringa 5. Anwarite Girls – Kilimanjaro ...

Read More »

NECTA Yatoa Maagizo kwa Watahiniwa Binafsi wa QT na Kidato cha Nne

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi novemba, 2018 kama watahiniwa wa kujitegemea kwamba: Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kimeanza tarehe 1 Januari, 2018 kwa ada ya shilingi 50,000/= kwa wanaojisajili CSEE na shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT na kitaisha tarehe 28 ...

Read More »

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017/2018

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo.   Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu  ...

Read More »

NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Pili, Darala la Nne

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu  kati ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons