JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

MAENDELEO NI KAZI 11

Wiki iliyopita katika maandiko ya Mwalimu tuliona katika kitabu cha “Maendeleo ni Kazi”chama kimetoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa na uongozi. Tuendelee Elimu ya watu wazima. Elimu ya watu wazima ni shughuli nyingine ambayo chama kimeshughulikia kutokana na agizo la mkutano…

Musoma Vijijini inateketea (2)

Na Dk. Felician Kilahama Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii, Dk. Felician Kilahama, alisema amekuwa akizungumza na viongozi mbalimbali katika vijiji alivyotembelea, lakini cha kushanganza hakuwahi kubahatika kukutana na viongozi wa vijiji wenye upeo mzuri na uelewa wa kutosha…

Akwilina awe Balozi wa amani

Ijumaa ya Februari 16, mwaka 2017 imekuwa siku ya majonzi kwa taifa letu. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwiilina B. Akwilini ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala, wakati polisi wanapambana na waandamanaji…

Maisha ya wananchi wa migodini yanafanane na uwepo wa rasilimali kwenye maeneo yao

Na Albano Midelo Uamuzi ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dk.John Magufuli, kuzuia uagizaji wa makaa ya mawe toka nje, badala yake watumiaji wote kutumia makaa ya mawe toka mgodi wa Ngaka Wilaya ya Mbinga Mkoa wa…

Mbeya walalamika kuporwa ardhi

Na Thompson Mpanji, Mbeya BAADHI ya wananchi wa Mtaa wa Gombe, Kata ya Itezi wameelezea kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa Januari 15, 2018 katika kesi Na. 204 ya Mwaka 2016 dhidi ya mwekezaji (jina la Kampuni limehifadhiwa) inayohusu mgogoro wa ardhi iliyotolewa na…

Uvunjaji Chako ni Chako wageuka kitanzi DODOMA

EDITHA MAJURA Imebuka sintofahamu kubwa kutokana na uvunjaji wa jengo la Chako ni Chako mjini Dodoma, baada ya kuwapo harufu ya eneo hilo kuviziwa na “wakubwa”, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imevunja jengo lililokuwa maarufu kwa jina…