Huyu ndio Ronaldo Bana Apiga Hat Trick

Mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu Afrika na pande zingine duniani baina ya Spain na Ureno umemalizika kwa timu zote kuambulia alama moja baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 3-3. Mechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa Fisht uliopo Sochi huko Russia na kuweza kushuhudia nyavu za Spain zikitikiswa mapema na Ronaldo kwa njia ya…

Read More