Ridhiwani Kikwete Atoa neno Kifo cha Sum wa Ukweli

Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli,na  kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo

“Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa mapenzi yake kwetu Binadamu na hasa kwako rafiki yangu Sam “Mwana Wa Ukae, Mzukulu wa Mwali Bonele Wa Kiwangwa”.Tangulia Rafiki Yangu, Pumzika kwa Amani Sam Wa Ukweli.”

1611 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons