Skip to main content

JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine
  • Home
  • Kitaifa
    • Biashara
    • Siasa
    • Uchumi
  • Kimataifa
  • Makala
    • Siasa
    • Uchumi
  • MCHANGANYIKO
  • Michezo
  • Burudani
  • Kazi/Ajira
  • Gazeti La Jamhuri
    • Sitanii
    • JAMHURI YA WAUNGWANA
    • Nyundo ya Wiki
June 8, 2018
Kitaifa

Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima

Jamhuri Comments Off on Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo.

 

Tuzo hiyo imepokelewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye Makao Makuu ya Jeshi hilo yaliyopo Dar es Salaam.

 

Akizungumza Kamishna Jenerali baada ya kupokea tuzo ya cheti hicho alisema, anaishukuru taasisi hiyo kwa kulipa Jeshi hilo tuzo hiyo kwa kazi nyingi ambazo taasisi hiyo imezifanya kwa kushirikia na Jeshi hilo ikiwepo kampeni ya kuitangaza namba ya simu ya dharura 114.

 

Andengenye, amezitaka taasisi nyingine kushirikiana na Jeshi hilo katika kuzifufua Fire Hydrant zilizo haribika na zilizofukiwa ili kuongeza idadi ya vifaa hivyo ambayo ni msaada mkubwa wakati wa majanga ya moto. ‘‘Jamii ishirikiane na Jeshi letu katika kuvilinda visima hivyo (Fire Hydrant) vilivyopo mitaani kwani ni msaada mkubwa pale majanga ya moto yanapotokea’’.

 

 

Ni vyema sasa mamlaka zinazoshughulikia miundombinu ya maji safi kwenye miji na majiji ikazingatia wanapotengeneza miundombinu hiyo, wakumbuke kuweka na mifumo ya maji ya zimamoto Fire Hydrant, pamoja na kuhakikisha wamiliki wanaojenga majengo makubwa na madogo wanaweka mifumo hiyo ya maji.

 

Tuna changamoto kubwa kwa upande wa visima hivyo, kwa hiyo kampeni yetu ya kufufua na kuongeza visima hivyo vitasaidia kuleta tija katika utendaji kazi katika fani yetu. Tunashirikiana na Mamlaka za Maji kuhakikisha miundombinu hiyo inarudi na kutoa ushauri pale miradi mipya ya maji inapo jengwa.

 

Naye Mkurugenzi wa Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania, Muhammad Shaban alisema wamechukua uamuzi huo wa kutoa Tuzo hiyo kutokana na kuona mchango mkubwa wa Jeshi hilo walioutoa katika jamii. Pia amesema wataendelea kutoa ushirikiano na Jeshi hilo katika utoaji elimu kwa umma. “Tupo tayari kushirikiana na Jeshi hili kuwaonesha sehemu zote ambazo fire hydrant zilizopo Mkoa wa Dar es Salaam.”

 

“Kampeni ya kufufua fire hydrant imetugusa sana na kuona hatua hiyo ni msaada mkubwa kwa jamii kwani zitasaidia magari ya zimamoto na uokoaji kupata maji eneo la karibu majanga ya moto yanapotokea.”

Post Views: 780

Share this:

  • Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Share on X (Opens in new window) X

Like this:

Like Loading…
JESHI LA ZIMA MOTO
Previous Post Makundi ya Timu 16 Ligi ya Timu za Vijana Zatajwa
Next Post Viatu havibani, havipwayi vinatosha Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sabab
Posted By

Jamhuri

  • Uwanja wa Ndege Msalato mwambao mpya wa uchumi Dodoma
  • LATRA yapanua matumizi ya teknolojia, yaongeza udhibiti wa usafiri
  • Naibu Waziri wa Fedha ashiriki kikao cha majadiliano cha AU kuanzisha ukadiriaji wa mikopo
  • REA yatunukiwa cheti cha mlipakodi bora kwa taasisi za umma
  • Wakulima Karatu vicheko, visima vya umwagiliaji vyatajwa kukomboa wakulima wadogo

Habari mpya

  • Uwanja wa Ndege Msalato mwambao mpya wa uchumi Dodoma
  • LATRA yapanua matumizi ya teknolojia, yaongeza udhibiti wa usafiri
  • Naibu Waziri wa Fedha ashiriki kikao cha majadiliano cha AU kuanzisha ukadiriaji wa mikopo
  • REA yatunukiwa cheti cha mlipakodi bora kwa taasisi za umma
  • Wakulima Karatu vicheko, visima vya umwagiliaji vyatajwa kukomboa wakulima wadogo
  • WHI yawakaribisha wananchi kujifunza fursa za nyumba na uwekezaji
  • Prof. Shemdoe atoa siku 14 wataalam kuchambua hoja za wananchi mgogoro wa mipaka Kazimzumbwi
  • Watu 25 mbaroni kwa tuhuma za mauaji, kuchochea vurugu
  • Kapinga : Hakikisheni mnatumia bidhaa zinazozalishwa kwa utelelevu na viwanda vya ndani kulinda soko
  • Dk Nicas : Manispaa Kibaha kujenga ofisi za kisasa za walimu kila shule
  • Mkoa wa Rukwa mbioni kuunganishwa kwenye gridi ya umeme ya taifa
  • Wizara ya Nishati Yatwaa Tuzo ya Wizara bora kwa utendaji MEL2026
  • Dk Saada aipongeza WHI kwa kutoa fursa za uwekezaji
  • Nindie asisitiza usimamizi wa vihatarishi kukabiliana na changamoto katika taasisi
  • Mwenge wa Uhuru watoa wiki mbili umeme ufike kituo cha afya Kiloleli

Copyright 2025

Designed by JamhuriMedia
%d