Monthly Archives: December 2017

FULL TIME: WEST BROMWICH ALBION VS ARSENAL MATOKEO 1-1

Dakika ya 4: Mchezo umeanza kwa kasi kiasi. Dakika ya 7:  west bromwich wanakosa goli, Jay Rodriguez anaunganisha kwa kichwa lakini kipa wa arsenal anadaka Dakika ya 9: Mpira wa kurusha kuelekea upande wa west bromwich. Dakika ya 12: West bromwitch wanapata kona ya kwanza  mpenzi mfuatiliaji na inachongwa na Chris Brunt Dakika ya 13:  Mabao bado 0-0 lakini West ...

Read More »

YANGA YAFUNGA MWAKA KWA KIPIGO CHA 2-0 KUTOKA KWA MBAO FC

Yanga leo imefunga mwaka vibaya kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Mbao fc ya mwanza, mabao yote ya mbao yamefungwa na Habib Aji kwenye dakika ka 52 na 70. kutokana na mchezo huo sasa unaiondoa yanga kwenye orodha ya timu zisizofungwa kwenye mechi zote za Ligi kuu, Sasa zimebaki timu mbili pekee Simba na Azam ambazo mpaka sasa ...

Read More »

CRYSTAL PALACE YAIKAZIA MAN CITY

Ligi kuu nchini Uingereza imeendeleaa tena leo kwa mchezo mmoja kati ya Crystal Palce dhidi ya Manchester City, matokeo ya mchezo huo Crystal Palace imefanikiwa kuwakazia Manchester City na kutoka nao sare ya 0 – 0. Katika mchezo huo Crystal Palace walikuwa na nafsi kubwa ya kuibuka na ushindi hasa kwenye dakika 90 walipopata penati na Luka Milivojevic kukosa penati. ...

Read More »

PPF WAMKANA MFANYAKAZI WAO ALIYEKAMATWA NA MIRUNGI

MFUKO wa Pensheni wa PPF umesema mfanyakazi wake, Anitha Oswald, wa ofisi ndogo ya Moshi aliyekamatwa wiki hii akiwa na madawa ya kulevya aina ya mirungi huko Moshi, Kilimanjaro, alikuwa kwenye likizo ya dharura na kwamba alikamatwa akiwa kwenye gari lake binafsi na nje ya eneo la kazi. Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na PPF vyombo vya habari na Meneja Uhusiano  ...

Read More »

CHADEMA: VIONGOZI WA DINI MSIOGOPE KUIKOSOA SERIKALI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani bila wao kusema jamii ya Watanzania itaangamia.   Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,  ametoa kauli hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayotokea hapa nchini na hali ngumu ya maisha ya Watanzania ilivyokuwa  ...

Read More »

KANISA KATOLIKI LAITISHA MAANDAMANO YA AMANI KUMPINGA RAIS KABILA

Kuna wasi wasi wa kukosekana utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayokabiliwa kwa sasa na mgogoro wa kisiasa kufuatia kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo kuitisha maandamano ya amani. Kabila ambaye waandaaji wa maandamano hayo wanamtaka atamke wazi kuwa hatawania muhula wa tatu wa uongozi, amekuwa madarakani tangu mwaka 2001 wakati aliposhika madaraka ya urais baada ya baba ...

Read More »

ASKOFU KAKOBE: NINA UTAJIRI ZAIDI YA SERIKALI ZOTE DUNIANI

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amesema haofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na ukwasi anaoumiliki na kuongeza kuwa fedha alizonazo ni Zaidi ya fedha zinazomilikiwa na serikali nyingi Duniani. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili kanisani hapo Askofu Kakobe amesema kuwa, hana wasiwasi wa kuchunguzwa utajiri wake na kuongeza kuwa kwa sasa anamiliki pesa ...

Read More »

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MIKOROSHO BORA RUANGWA, LINDI

Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la korosho Kuhakikisha wanapunguza na kuondoa Miti ya Mikorosho ambayo Inamiaka mingi shambani ambayo Inasababisha Kutoa mavuno hafifu na Yenye Ubora usiohitajika katika soko lakimataifa.    Majaliwa ameyasema hayo katika uzinduzi wa wa kampeni ya kitaifa ya upandaji wa Mikorosho Bora na Mipya Million10 katika Wilaya ya Ruangwa ...

Read More »

MBUNGE WA KIBAMBA, JOHN MNYIKA AWASHUKURU AKINA MAMA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Mh John Mnyika kupitia kwenye ukurasa wake Twitter amewashukuru wakina mama wa jimbo la Kibamba kupitia kikundi chao cha VIMA kwa kumualika kushiriki shughuli ya kufunga mwaka ya kikundi hicho. Mnyika amesema kuwa wataendelea kuwa pamoja bega kwa bega ili kuleta maendeleo ndani ya jimbo la Kibamba katika mwaka mpya 2018, hivi karibuni Mbunge huyo ...

Read More »

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA, DKT. MNDOLWA AZINDUA KAMPENZI ZA UDIWANI KATA YA KWAGUDA, KOROGWE

 Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukitoka Korogwe mjini kuelekea Kata ya Kwagunda Jimbo la Korogwe Vijijini kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za udiwani wa Kata hiyo ambapo Dkt Mndolwa alikuwa mgeni ramsi  gari yaa mbele inayongoza msafara huo ni ya Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu  Msafara ...

Read More »

AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA MAWAZIRI WANAISHI DAR ES SALAAM

Disemba 12 mwaka huu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliandika barua kwenda kwa Mawaziri, Manaibu Waziri, Wakurugenzi na watumishi wengine wa serikali ambao hawakai kwenye vituo vyao vya kazi kwa mujibu wa sheria, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo hilo kufuatia kuwapo kwa mawaziri na viongozi wengine ambao wamepangiwa kuhamia Dodoma, ...

Read More »

AJALI: WATU 34 WAUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA KENYA

Habari kutoka Kenya zasema kuwa watu 34 wamefariki katika ajali nyingine mbaya ya barabani, iliyotokea mapema Jumapili asubuhi. Watu 16 wamejeruhiwa wengi wao wakiwa katika hali mahututi, baada ya Basi moja la abiria kugongana ana kwa ana na lori la mizigo, katika maeneo ya barabara ya Sachangwan/ Salgaa, takriban kilomita 200 kutoka mji mkuu Nairobi. Afisa mkuu wa idara ya ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 31, 2017

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Disemba, 31, 2017 nimekuekea hapa

Read More »

WAZIRI MPANGO: FEDHA ZA KIGENI MWISHO 31 DISEMBA 2017 HAPA NCHINI

Serikali imeweka zuio la matumizi ya fedha za kigeni katika manunuzi ya huduma na bidhaa mbalimbali nchini ili kulinda nguvu ya fedha ya Tanzania. Hatua hii imekuja kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuiagiza Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni katika biashara na huduma hapa nchini ili ...

Read More »

Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi Yaja

Serikali ipo katika mchakato wa kuwashirikisha wadau ili kufikia azma ya kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kulinda taarifa binafsi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Maria Sesabo, amesema. Sesabo amesema hayo mjini Dodoma wiki iliyopita, wakati wadau wa mawasiliano wakipewa ufafanuzi kutoka kwa wataalamu wa wizara hiyo, kuhusu mapendekezo ya kutungwa sheria hiyo. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Uzalendo si Suala la Hiari

Desemba 8, mwaka huu, Taifa letu lilizindua kampeni ya Uzalendo hapa nchini. Uzinduzi ule ulifanyika Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete na ulifanywa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais John Magufuli. Hili ni jambo zuri na muhimu sana kwa Taifa kujitambua na kuwaandaa watoto, kizazi kipya wasipotoshwe na tamaduni za kigeni zinazoonekana katika ma-runinga. Mwaka ...

Read More »

Nampongeza Rais Kurudisha Uwajibikaji

Namshukuru sana Rais John Magufuli kwa kurudisha uwajibikaji. Mimi ni mzee mwenye umri wa miaka 94 nikiwa miongoni mwa askari tuliopigana vita ya KAR ya mwaka 1952, namba yangu ilikuwa A.181300135. Malkia wa Uingereza alituma fedha za fidia lakini hatujalipwa hadi sasa. Hassan Sudai, Dodoma,0742082319, 0684820477 Mhariri wa JAMHURI Umesema ukweli Mhariri, kuna dalili zinazoashiria nchi hii kurejea katika mfumo ...

Read More »

HAWA HAPA WANACHAMA WA CUF WALIOJIUNGA NA CCM, RUANGWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 60 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Wanachama hao wamepokelewa jana (Ijumaa, Desemba 29, 2017) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Nkowe kata ya Nkowe, wilayani Ruangwa mkoani Lindi. Kabla ya kuwakabidhi kadi za CCM, Waziri Mkuu alipokea kadi za CUF kutoka kwa vijana saba ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 30, 2017

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Disemba, 30, 2017 nimekuekea hapa

Read More »

Waziri Jafo Aitaka TBA Kufanya Kazi kwa Wakati

Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI ,SELELAM JAFO amesema i WAKALA WA MAJENGO TANZANIA –TBA  umekuwa kikwazo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya Serikali. Ametoa kauli hiyo wilayani IKUNGI mkoani SINGIDA baada ya kutembelea miradi inayotekelezwa na wakala huyo ambayo utekelezaji wake umekuwa ukisusua licha ya serikali kulipa ...

Read More »

BENK KUU YAITAKA AIRTEL KUWASILISHA TAARIFA ZAKE ZA KUANZIA 2000

Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za iliyokuwa Celtel, Zain au Airtel kuwasilisha taarifa hizo. BoT imezitaka taasisi hizo ama benki kueleza kama zimewahi kuendesha ama zinaendesha akaunti zinazohusiana na kampuni tajwa. Aidha, taasisi zote ambazo zitakuwa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons