WAZIRI MKUU AWAONYA VIONGOZI WAPYA WA SHIRECU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wapya wa Chama Kikuu cha Ushirika Shinyanga wajipime kama wako tayari kuwatumikia wananchi na kama sivyo waachie ngazi.   Ametoa onyo hilo jana (Ijumaa, Julai 13, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa kijiji cha Mwangongo na vijiji vya jirani mara baada ya kukagua soko la pamba kwenye…

Read More

RAIS DK. MAGUFULI ATENGUA NA KUTEUA MKURUGENZI MKUU NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo 14 July 14, 2018. Prof. Kahyarara atapangiwa kazi nyingine. Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Kabla ya uteuzi huo Erio alikuwa…

Read More

Marekani kujiondoa NATO

Rais wa Marekni, Donald Trump, ametishia kuiondoa nchi yake kutoka katika Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), iwapo nchi wanachama wa Umoja huo ikiwamo Ujerumani hazitaongeza bajeti ya ulinzi. Amesema marais waliomtangulia walikuwa wakijaribu bila mafanikio kuilazimisha Ujerumani na nchi nyingine tajiri kuongeza bajeti zao za ulinzi dhidi ya Urusi bila mafanikio, na…

Read More