JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2018

Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na meneja wa zamani wa England -Eriksson

Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa England Sven-Goran Eriksson kuchukua usukani wa kuifunza timu ya taifa hilo Indomitable Lions. Eriksson mwenye umri wa miaka , 70, raia wa Sweden alikuwa na mazungumzo mazuri na maafisa wa Shirikisho…

Lugumi Aitikia Wito wa Kangi Lugola

Mmiliki wa kampuni ya Lugumi, Said Lugumi leo asubuhi Jumanne Julai 31, 2018 amejisalimisha katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Julai 21, 2018 Lugola alimpa…

Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa…

Rais Shein aihakikishia Malawi ushirikiano

ZANZIBAR Na Mwandishi Maalumu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema uhusiano na ushirikiano kati ya Malawi na Zanzibar una historia ya muda mrefu, hivyo kuna haja ya kuuendeleza na kushirikiana katika sekta…

Madrid, Ufaransa kidedea timu ya FIFA

Mabingwa wa Dunia, timu ya taifa ya Ufaransa, wameongoza kutoa wachezaji wengi katika orodha ya wachezaji bora wa (FIFA) wa kiume, huku katika nyanja ya klabu, mabingwa wa Ulaya (Champions League) Klabu ya Real Madrid wakiongoza kutoa wachezaji wengi. Mafanikio…