
Magazetini



Kamishna lawamani kutaka kumega ardhi
MOROGORO Na Aziza Nangwa Taasisi ya Tretem Network of Schools Limited imemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kuingilia kati kitendo cha Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro, Frank Minzikuntwe, kutaka kumega eneo lao kisha apewe mtu mwingine. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni, Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Julius Chami, amesema…

Kauli ya ‘Rais Ganja’ yazua gumzo
Mombasa Na Dukule Injeni Hakuna ubishi, urais Kenya ni mbio za farasi wawili licha ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kupitisha majina manne ya wanaosaka kumrithi Rais Uhuru Kenyatta kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu. Naibu Rais, William Ruto wa muungano wa Kenya Kwanza na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga,…

Mauaji gerezani
*Nyampala auawa akidaiwa ‘kuiba’ mahindi ya Mkuu wa Gereza *Mpambe wake anusurika kifo kwa kipigo, alazwa ICU Muhimbili *RPC agoma kuzungumza, aukana mkoa wake akidai yeye ni RPC Mtwara Dar es Salaam Na Alex Kazenga Wakati taifa likifikiria namna sahihi ya kukomesha mauaji ya mara kwa mara yanayotokea nchini, hali si shwari hata ndani ya…

Yanga bingwa, lakini…
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, sasa wanahitaji kushinda mechi nne ili kumaliza msimu na rekodi ya kutokufungwa. Yanga ilitangaza ubingwa wa ligi wiki iliyopita baada ya kuifunga Coastal Union mabao 3-0 na kufikisha pointi 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. Ila Yanga wanapaswa kushinda…