Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiitazama kifaa cha kuchezea watoto kwenye duka alipotembelea jana kwa lengo la kuwanunuliwa wajukuu wake vifaa vya kuchezea mliman city
Mmoja wa Wajukuu wa Mzee Kikwete akiendesha gari la kuchezea watoto
Mzee Jakaya Kikwete akioneshwa vifaa vya kuchezea watoto dukani

Jana Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alitembezwa na wajukuu zake kwenye maduka ya kununulia vifaa vya kuchezea watoto katika madukaa ya Mlimani City lililopo jijini Dar es Salaam

Leo ilikuwa zamu ya wajukuu zangu kunitembeza babu yao na safari yetu iliishia Mlimani City kwenye duka la vifaa vya watoto vya kuchezea. ”  Mzee Jakaya aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter

2765 Total Views 5 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!