
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiitazama kifaa cha kuchezea watoto kwenye duka alipotembelea jana kwa lengo la kuwanunuliwa wajukuu wake vifaa vya kuchezea mliman city
Jana Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alitembezwa na wajukuu zake kwenye maduka ya kununulia vifaa vya kuchezea watoto katika madukaa ya Mlimani City lililopo jijini Dar es Salaam
“Leo ilikuwa zamu ya wajukuu zangu kunitembeza babu yao na safari yetu iliishia Mlimani City kwenye duka la vifaa vya watoto vya kuchezea. ” Mzee Jakaya aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter