Daily Archives: April 16, 2018

Lulu Azimisha Siku Yke ya Kuzaliwa kwa Kutoa Zawadi, Akiwa Gerezani

Ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Msanii wa Bongo Movie, Elizabeth Michael maarufu kwa jina lake la sanaa la Lulu ambaye anatumikia kifungo chake gerezani, ametumia siku ya leo kutoa zawadi kwa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Lulu ambaye anatumikia kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kosa la kumuua bila ...

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI

 Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Makoye Alex Nkenyenge akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi (Hayupo katika picha) wakati wa ufunguzi wa kikao cha13 cha  Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika leo Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi za Waziri Mkuu  Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa kufarijiana Bw. Mussa Varisanga akiwasilisha taarifa kuhusu mfuko huo wakati wa kikao cha 13 ...

Read More »

TASAF YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI UTEKELEZAJI MPANGO KUNUSURU KAYA MASKINI-PSSN.

Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF, Amadeus Kamagenge(aliyesisima) akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo na Serikali ulioanza leo mjini Dar es salaam .  Kiongozi wa Shughuli za TASAF katika Benki ya Dunia Mohamed Muderis (aliyesimama) akitoa maelezo kwenye Mkutano wa Wadau wa Maendeleo,Serikali na TASAF unaojadili maendeleo ya Mpango wa Kunusuru  Kaya Maskini. Baadhi ya Wadau wa Maendeleo,Maafisa ...

Read More »

MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA PUNDA KUONGEZA BEI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma alichokifungua hivi karibuni leo. (Picha na Jumanne Mnyau)  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akipokea maelezo ya usindikaji wa nyama Punda kutoka kwa mfanyakazi wa wa kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited ...

Read More »

SERIKALI KULINDA THAMANI YA SHILINGI KWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZA NDANI

Serikali imeeleza kuwa inalinda thamani ya Shilingi kwa kudhibiti mfumuko wa bei ya huduma na bidhaa, kuhamasisha usafirishaji na uuzaji wa bidhaa zilizoongezwa thamani nje ya nchi kupitia program ya “Export Credit Guarantee Scheme” na kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za Kigeni. Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ...

Read More »

Aua watoto wake kwa kuwachinja, adai bado hajamaliza kazi

Watoto mapacha Nyakato (mvulana) na Nyangoma (msichana) wakazi wa Kijiji cha Butahyaibeba wilayani Bukoba wenye umri kati ya miaka minne na mitano wameuawa kwa kuchinjwa na mtu aliyedaiwa kuwa ni baba yao mzazi usiku wa kuamkia jana. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bulambizi, dickson Barongo ambako mauaji hayo yametokea, alieleza kuwa watoto hao walichinjwa na kutenganishwa vichwa na viwiliwili. “Nilikuwa wa ...

Read More »

Waziri January Makamba Atoa Ushauri kwa wasanii na vijana maarufu

Ujumbe huu umeandikwa leo na Waziri January Makamba katika ukurasa wake wa Twitter ikiwa ni ushauri kwa wasanii na vijana maarufu. Ushauri huu umechukuliwa na wengi wa watumiaji wa mitandao ya Twitter na Instagram kama muhimu kwa wasanii hasa baada ya kuibuka kwa matendo yasiyoakisi taswira njema kwa jamii kwa siku za karibuni. Ujumbe huo umeandikwa kwa lugha ya Kiingereza ...

Read More »

Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS

Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Tundu Lissu, ikiwamo kusimamia demokrasia, haki, utawala bora, haki za wanasheria pamoja na kufanya uchunguzi ili kubaini ...

Read More »

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki. Mwanasiasa huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Ken, kama alivyojulikana nchini Kenya ameaga dunia katika Hospitali moja ya kibinafsi ya Karen, iliyoko Jijini Nairobi. Ken Matiba ambaye ni maarufu katika siasa za ukombozi wa pili wa kisiasa nchini Kenya, baada ya ile ya Uhuru miaka ya 1950s ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons