Viatu havibani, havipwayi vinatosha Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sabab

Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sababu, nimekitumikia chama changu muda mrefu, nimeona niachie damu mpya. Nimependa nipumzike, lakini hayo mengine yanayoandikwa ni ya kupuuza.” Ni kauli thabiti iliyojaa hiari na uungwana; na iliyoshiba haki usawa na ahadi kutoka moyoni mwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (2012- 2018), Abdulrahman Kinana, alipozungumza na…

Read More

Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo.   Tuzo hiyo imepokelewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye Makao Makuu ya Jeshi hilo yaliyopo Dar es…

Read More

Simba Yatanguliza Mguu Mmoja Uingereza

Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4. Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 Simba watacheza fainal na Timu ya…

Read More

ALIKIBA AJIPAMBANUA KUMFUNGA SAMATTA JUMAMOSI

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ (kushoto) akiwa na mcheza soka aliyeko Afrika Kusini,  Uhuru Selemani, wakiongea na wanahabari leo Uwanja wa Taifa, Dar.   MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba  ‘Alikiba’,  amemuonya mwanasoka  mshambuliaji wa klabu ya Ubelgiji ya  KRC Genk, Mbwana Samatta,  kwamba ataondoka…

Read More