Makala

Yah : Naomba uchaguzi ufanyike kesho basi, maisha yanazidi kuwa magumu

Kila siku ni nafuu ya jana, watu wana sura za furaha lakini hawajui kesho yao itakuwaje, mimi ni mmoja wao kati ya hao ambao kesho yao ni hadithi sijui itakuwaje, leo ni nafuu ya kesho lakini ngumu kuliko jana na maisha yanaenda. Unapoambiwa Mungu ni mwema na Mungu ni mkubwa ndio kama hivi, unapoambiwa anatenda miujiza sina sababu ya kukataa ...

Read More »

Wapigakura tujifunze kwa mashabiki wa soka

Tanzania hatujawahi kushuhudia kumangamanga ndani ya medani ya siasa kama wakati huu. Nasita kutamka kuwa wote wanaomangamanga ni wanafiki wa kisiasa, lakini ukweli ni huo kwa baadhi yao. Kigeugeu nje ya siasa hawezi kuathiri majaliwa ya watu wengi, lakini anaposhika dhamana ya uongozi anapata fursa ya kuhatarisha maslahi ya wengi. Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kutamka baada ya kustaafu uongozi kama ...

Read More »

Biashara za ‘Kidijitali’

Mwezi uliopita nilizindua kitabu changu kipya kiitwacho ‘MAFANIKIO NI HAKI YAKO’ ambacho kinauzwa kwa njia ya mtandao. Jambo kubwa nililolifanya kutokana na kitabu hiki ni kuandaa mfumo unaoendelea kumsaidia mtu anayenunua kitabu hiki kuyaweka katika vitendo yale atakayoyasoma na kujifunza kutoka katika kitabu hiki. Mtu akinunua kitabu hiki anapata wasaa wa kuunganishwa na kundi maalumu kwenye mtandao wa Whatsapp liitwalo, ...

Read More »

Uzoefu nilioupata Mlima Meru

Tupumzike siasa kwa leo. Nazungumzia utalii. Kwa mara ya kwanza hivi karibuni nilipata fursa ya kusindikiza mgeni kutoka Scotland aliyetembelea Tanzania na kuamua kukwea Mlima Meru mkoani Arusha. Kilele cha Mlima Meru kina urefu wa mita 4,566 juu ya usawa wa bahari ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha yenye ukubwa wa kilometa za mraba 322. Inachukua chini ya mwendo ...

Read More »

Wanaomnyooshea kidole Lowassa wamechelewa

Mwaka mmoja nyuma  kabla ya vuguvugu hili la Uchaguzi Mkuu kupamba moto,  niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari ‘Ninachompendea Lowassa ni hiki’. Kusema ukweli makala hiyo ilinipa nafasi kubwa ya kuzielewa vizuri siasa za nchi yetu na hasa Afrika kwa ujumla. Nilielewa kwamba hata baada ya bara letu kujikomboa, bado tunayo safari ndefu ya kukufikia kule tunakokusema kuwa ni ...

Read More »

Septemba 11: Tukio lisilosahaulika Marekani

Dunia imetimiza miaka 14 tangu kutokea mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na Al-Qaeda. Mashambulizi hayo yalitokea saa 2:00 asubuhi Jumanne, Septemba 11, 2001 ambako watu 19 waliokuwa ndani ya ndege nne za kuvuka mabara (Trans – Continental Flights) kuziteka na kuzigeuza kuwa silaha za maangamizi zikibamiza Kituo cha Biashara (World Trade Centre) New York, Marekani. Haya yalikuwa ni madhara dhahiri ya ...

Read More »

Kosa la Dk. Magufuli ni kusimamia sheria?

Nimesoma makala ya rafiki na kaka yangu Joster Mwangulumbi, iliyokuwa na kichwa cha habari: “Yako mengi tunayopaswa kuyatafakari”. Makala hiyo fupi, lakini kali, inamhusu mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Aya moja inasema: “Rais Kikwete na makanda wengine wanampamba Dk. Magufuli kwa sifa kwamba ni mzalendo, mwadilifu, mchapakazi na hana makuu, wanaficha ukweli kwamba Dk. Magufuli ...

Read More »

Vitimbwi vya Uchaguzi Mkuu 2015

Kipenga cha uchaguzi kimepulizwa tangu Agosti 21, 2015 na refa ni Tume ya taifa Uchaguzi (NEC).  Kuanzia tarehe ile wachezaji wote ambao ni vyama vya siasa wamepaswa kucheza mchezo huu yaani kuandaa sera zao kwa wananchi kulingana na sheria ya uchaguzi na kanuni zake zilizoandaliwa kufanikisha uchaguzi wa mwaka huu uwe huru na wa haki. Nimesikia maneno mawili tofauti juu ...

Read More »

Tukifanya makosa, ndoto za mabadiliko zitatoweka!

Katika kipindi kifupi tu tumeshuhudia kwa kiasi kukubwa Watanzania wakiimba wimbo wa mabadiliko. Wimbo huu unaimbwa na wanasiasa. Kinachonipa ukakasi kutokana na neno hilo ‘mabadiliko’ kutawala katika vijiwe, mikutano ya hadhara na hata katika majukwaa makubwa yanayotumika kusaka kura kwa wagombea wetu, si neno lenyewe bali ni maana na dhamira ya mabadiliko yanayotakiwa. Dk. John Magufuli, mgombea urais wa CCM, ...

Read More »

Yah: Dakika zinayoyoma, sera zinauzika, kazi kwa wapambe

Kama ingelikuwa ni mashindano ya mpira, basi tungesema kipindi cha mapumziko kimeshapita na kipindi cha pili kinaelekea kwisha, pambano halihitaji kupigiana penalti mshindi lazima apatikane kwa matokeo yoyote. Wachezaji wote wanatumia nguvu zao zote na kuangalia makosa madogo ya wachezaji wenzao, ili waweze kutumia mwanya huo kupata ushindi. Siasa ni kazi, lakini siasa ni uongozi pia wa kushika dola, uongozi ...

Read More »

Hatuheshimu ndevu, hata kidevu!

“Huyu ni mpiganaji kama sisi. Lakini bunduki yake ni tofauti na zetu. Bunduki yetu inaweza kuua askari mmoja kwa wakati mmoja, na mlio wake hausikiki hata Mueda. Lakini bunduki yake (kalamu) inaua maadui wa uhuru kwa mamilioni duniani kote na mlio wake utasikika katika historia daima.” Hayo ni maneno ya Samora Machel akimtambulisha Mwandishi wa Habari, Jenerali Twaha Ulimwengu, kwa ...

Read More »

Kushitaki askari wabambika kesi

Imekuwa ni kawaida watu kubambikwa kesi hapa nchini. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na raia.   Mtu kwa sababu ana pesa au cheo, anaweza kuamua kumfungulia yeyote mashtaka. Watu wengi wako magerezani kwa kubambikizwa kesi, hili wala si siri tena. Siseme walio mahabusu, hao nao ...

Read More »

Nani awafute machozi wamiliki wa daladala?

Kwanza nianze kwa kuwasalimu na kuwapa hongera kwa kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu. Najua mashabiki na wafuasi wa wagombea, presha zinapanda na kushuka kila siku. Nawatakia heri kwa kuwa maisha yataendelea hata baada ya Oktoba 25, sisi wa mraba huu ngoja tuendelee na kazi yetu.   Leo nitachambua kwa kina yahusuyo biashara ya daladala. Kwa wale wanaofuatilia makala ...

Read More »

Wasiotii sheria wajifunze kuzitii kabla JPM hajaapishwa

Dk. John Magufuli, ameshaanza kampeni kwa ajili ya kuingia Ikulu ifikapo Oktoba, mwaka huu. Kwa kuwa ameshaanza kampeni, wengi wamesikia nini anachokusudia kuifanyia Tanzania na Watanzania. Hadi naandika makala hii, “mtani wa jadi” wa Dk. John Magufuli kwenye mchuano huu wa urais, Edward Lowassa, na Chadema kwa jumla walikuwa hawajaweka hadharani Ilani yao. Kwa sababu hiyo, nimeona nijadili hiki kilichokwishasikika ...

Read More »

Yah: Siasa za kuingia Ikulu kwa namna yoyote iwavyo

Hivi sasa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu na kila mwananchi anataka kutumia haki yake ya kimsingi kupiga kura na kumchagua kiongozi anayeona atafaa kumwongoza na kumletea maendeleo katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Viongozi wamefanyiwa mchakato ndani ya vyama vyao na wamejiridhisha kuwa wanatosha katika kuisimamia Ilani yao ya Uchaguzi pamoja na kutekeleza kile ambacho wamekipanga kwa manufaa ya wananchi ambao ...

Read More »

Naogopa, ushabiki wa kisiasa ni hatari

Watanzania hivi sasa wamo katika mawazo na mazungumzo ya ajenda moja tu ya Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika hivi Oktoba 25, 2015 wa kuwachagua viongozi bora ambao ni madiwani, wabunge na rais wa nchi. Mazungumzo hayo yanaendeshwa mchana na usiku katika sehemu mbalimbali zikiwamo za nyumbani, shambani, ofisini, chuoni na kijiweni ilimradi penye mkusanyiko wa watu wakiwamo wake kwa waume kuanzia rika ...

Read More »

PPF yajipanga kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi

Wanawake zaidi ya 720 wanafariki dunia kila mwezi nchini, kutokana na matatizo ya uzazi, na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa na idadi kubwa ya vifo hivyo.   Takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii zinaonesha kuwa kila siku wanawake 24 hufariki dunia kutokana na matatizo ya uzazi. Kwa mwaka mmoja wanawake zaidi ya ...

Read More »

IGP Ernest Mangu; Kampeni zinaanza, hatutaki mabomu

Namshukuru Mungu kuniamsha salama na mwenye akili timamu. Waraka wangu wa leo unamlenga moja kwa moja Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu. Nia yangu hasa ni kuonya na kukemea tabia ya baadhi ya viongozi wa jeshi hilo kujiingiza katika siasa hasa kuibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), badala ya kuwalinda raia wanaofanya siasa na mali zao, sintofahamu ...

Read More »

Yaongelewe masuala, wasiongelewe watu

Mimi nimefarijika sana na ninamshukuru Mungu kuona Makala zangu zinavyosomwa na watu na zinavyotoa changamoto miongoni mwa wasomaji.  Nimekuwa nikiandika makala katika magazeti mbalimbali na kwa hivi karibuni katika gazeti la JAMHURI. Kutokana na makala hizo nimekuwa nikipokea meseji nyingi na hasa nimekuwa na mazungumzo katika simu za viganja.  Meseji kadha nimepata kuhusiana na zile makala za udini, elimu, ushoga, ...

Read More »

Bomu la ajira kwa vijana linaitesa CCM

Miaka mitano iliyopita Rais wangu, Dk. Jakaya Kikwete, wakati akijinadi na kuomba kura kutoka kwa wapigakura, aliahidi mambo mengi kwa Watanzania. Kwa siku ya leo nitagusa ahadi moja tu ambayo ni changamoto kubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi, na ahadi iliyobadilika na kuwa silaha kubwa inayotumika kukiadhibu Chama Cha Mapinduzi (CCM). Rais Kikwete aliahidi ajira kwa vijana ikiwa ni ...

Read More »

JK ukumbukwe kwa lipi?

Kila kiongozi katika nchi yoyote ile duniani – iwe inafuata utawala wa kidemokrasia au wa mabavu – anapoondoka madarakani anakuwa na historia ya kukumbukwa kwa vyovyote vile kwa mabaya au mema aliyowatendea watu wake. Hapa si kwa viongozi wakuu wa nchi tu bali kwa kila mmoja kulingana na utendaji wake wa kazi, akiwaongoza wengine katika majukumu mbalimbali ya kijamii na ...

Read More »

Ni mabadiliko kweli?

Watanzania hivi sasa tumo katika mtihani mgumu wa kujibu swali moja lenye vipengele vingi kuhusu mustakabali wa kuboresha maisha yetu na kudumisha Muungano wetu kwa upendo na amani. Swali liliopo mbele yetu ni, Je, tunahitaji mabadiliko au kuking’oa tu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichopo madarakani ili tupate kuukabili mustakabali ujao? Ni hoja au ushabiki tu bila kupima mizania? Nimesema kuna ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons