
Mamluki wa CCM wakaliwa kooni
*Mtandao wa kumpinga Rais Samia ‘wafukiziwa moshi’ *Waahirisha vikao vya kupinga chanjo, waanza kuogopana *Askofu Gwajima atwishwa msalaba, Rais Samia aonya 2025 *Katibu Mkuu asema hakuna mkubwa kuliko chama, watajuta Na Mwandishi Wetu, Dodoma Baada ya kuchapisha habari za uwepo wa mtandao uliojengwa na Rais John Magufuli bila kujua akidhani anakijenga Chama Cha Mapinduzi (CCM-…