
Dk. Mpango alikoroga
*Atoa maagizo nje ya mipaka ya Makamu wa Rais kikatiba *Wataalamu wasema kisheria hapaswi kusimamisha kazi watendaji *Warejea tamko la trilioni 2, wataka amheshimu Rais Samia *Wamtahadharisha asitoe matamko ya kiserikali akiwa kanisani Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, anatajwa kuzua mgogoro wa chini chini serikalini kutokana na tabia…