Daily Archives: January 4, 2018

WAZIRI JAFFO AAGIZA UJENZI WA BARABARA INAYOELEKEA HOSPITALI YA BUGURUNI KUJENGWA

Ilala kuanza ujenzi wa barabara ya Buguruni kwa mnyamani ndani ya wiki moja kuanzia leo ili kuondoa kero kwa wananchi wa eneo hilo.  Waziri Jaffo ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi katika barabara hiyo inayoelekea katika hospitali ya Buguruni kwa Mnyamani na kuutaka uongozi wa wilaya ya Ilala kusimamia ujenzi huo mara moja. Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo ...

Read More »

SIMON MSUVA ATUA BONGO KWA MAPUMZIKO AKITOKEA MORROCO

MSHAMBULIAJI  wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amewasili leo asubuhi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam. Akitokea Morocco kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya ligi nchini humo kusimama Msuva amesema kuwa kwa Soka la Morroco lina ushindani mkubwa lakini anajitahidi kupambana ...

Read More »

VIDEO QUEEN KIDOA APORWA GARI NA BWANA WAKE

Muuza sura ashuhuri Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kupokonywa gari aina ya Subaru na mwandani wake ambaye ni kigogo wa serikali baada ya kushindwana tabia. Taarifa kutoka kwa chanzo kilicho karibu na mrembo huyo zimeeleza kuwa, Video queen huyo  licha ya kujitapa kwamba gari hilo alinunua mwenyewe, ukweli ni kwamba alipewa na bwana’ke ambaye alikuwa anaishi naye kinyumba maeneo ya ...

Read More »

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na askari polisi wamejitokeza kuuaga mwili wa mke wa Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola, Bi Marry Lugola Jijini Dar es salaam. Bi Marry Lugola ambaye alikuwa Kamishna Msaidizi wa polisi amegwa hii leo nyumbani kwake Railywa Gerezani Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kwenda ...

Read More »

2018 UTUMIKE KUJADILI MASUALA

LEO ni siku ya nne ya mwaka mpya wa 2018. Ni wakati wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia afya, uhai, nguvu, akili na ubunifu, miongoni mwa vingine  vinavyochangia kuharakisha maendeleo na ustawi wa watu. Watanzania wameungana na watu wa mataifa mengine kuupokea mwaka mpya, kujitafakarisha kuhusu mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika nyanja tofauti kwa kipindi cha mwaka 2017 na kukabiliana ...

Read More »

Azam FC Yaendeleza Kichapo, Yaifunga Jamhuri 4-0

Azam imezidi kuonyesha dhamira ya kutetea ubingwa wao baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Jamhuri Kikosi cha Azam FC, kimezidi kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea hapa Zanzibar baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya timu ya Jamhuri ya Pemba huo ukiwa ni mchezo wa kundi A, uliopigwa majira ...

Read More »

ARSENAL, CHELSEA ZASHINDWA KUTAMBIANA

Mchezo mmoja wa ligi kuu Uingereza uliopigwa jana usiku uliwakutanisha timu mbili zinazotoka mji mmoja London, Arsenal na Chelsea zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya mabao 2-2. katika mchezo Chelsea ilipaswa kupata pointi zote tatu katika mechi hiyo kwani mpaka dakika 90 Chelsea ilikuwa mbele ya mabao 2-1 ambapo lakini dakika za nyongeza ya 92 Hector Bellerin alifuta ndoto ...

Read More »

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MSAKO KWA WADAIWA SUGU

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua taarifa za mishahara za waajiri (payroll) ili kubaini waajiri ambao wanawasilisha kiwango kidogo cha mikopo ya wafanyakazi wao ambao ni wanufaika wa mikopo hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru amesema wanufaika wengi wa mikopo, wakiwemo wadaiwa sugu, wameonesha ushirikiano ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 4, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,04, 2018 nimekuekea hapa

Read More »

KOREA KASKAZINI YAFUNGUA MAWASILIANO YA SIMU NA KOREA KUSINI

Korea Kaskazini imefungua tena mawasiliano ya simu na Korea Kusini ili kuanzisha mazungumzo kuhusu kushiriki kwake katika mashindano ya msimu wa baridi. Korea Kusini imethibitisha kuwa ilipata simu kutoka Kaskazini leo Jumatano. Hii ni baada ya Kim Jong un kusema kuwa ataanzisha mazungumzo na Korea Kusini kuhusu kutumwa timu kwa mashindano ya msimu wa baridi huko Korea Kusini. Mataifa hayo ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons