MCHANGANYIKO

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND IMETOKA, ARSENAL KUANZA NA MANCHESTER

Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka rasmi leo ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa Jumamosi ya Agosti 11 2018. Ratiba inaonesha Arsenal itaanza na mabingwa watetezi wa taji hilo, Manchester City huku Man United wakianza na Leicester City. Ratiba kamili hii hapa Arsenal v Man City AFC Bournemouth v Cardiff City Fulham v Crystal Palace Huddersfield Town v Chelsea Liverpool ...

Read More »

WACHEZAJI WA SIMBA WAPITA KWENYE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro hicho ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Erasto Nyoni wote wa Simba, ambapo kamati ya Tuzo hiyo ya Mchezaji Bora imeandaa utaratibu wa kupiga kura kuwashirikisha ...

Read More »

Kombe la Dunia Kuanza kensho na Wenyeji Urusi Dhidi ya Saudi Arabia

Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia. Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa Kundi A: Russia, Saudi Arabia, Egypt na Uruguay Kundi B Morocco, Iran, Portugal na Spain Kundi C France, Australia, Peru na Denmark Kundi D Argentina, Iceland, Croatia, ...

Read More »

KOCHA WA TAIFA WA HISPANIA ACHUKUA MIKOBA YA ZIDANE REAL MADRIDI

Kocha Julen Lopetegui ametangazwa kuchukua mikoba ya Kocha Zinedine Zidane aliyeamua kuachia ngazi. Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa anainoa timu ya taifa ya Hispania inayoshiriki Kombe la Dunia. Kocha huyo kijana ataanza kazi mara moja baada ya michuano ya Kombe la Dunia. Baada ya kujiuzulu kwa Zidane Mei 31, mwaka huu kulikuwa na majina ya makocha wengi ...

Read More »

Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Yanga ni moja ya timu zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake. Mbali na kuhusishwa na Ssimba, Mavugo pia amesema ataendelea kuitumikia klabu hiyo kutokana na namna ilivyomlea tangu ajiunge na wekundu ...

Read More »

Tuzo za Mo Somba Awards 2018 Zafana

Sherehe za simba zilifanyika jana usiku na kushuhudia baadhi ya wachezaji kubuka na tuzo. tuzo hizo ziliandaliwa na tajiri Mohamed Dewiji na kuziita   Golikipa bora ni  Aishi manura Beki bora ni Erasto ambapo alikuwa anapambana na Shomali Kapombe na Mlipili Kiungo bora ni Shiza Kichuya  ambapo alikuwa anapambana na Mkude na Kotei Mfungaji Bora ni Emanuel Okwi ambapo alikuwa ...

Read More »

Ronaldo Kufungua Kombe la Dunia

Mcheza soka maarufu  wa zamani Ronaldo De Lima wa Brazil, amepewa majukumu ya kuzindua rasmi fainali za Kombe la Dunia 2018 kwenye mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia Alhamisi ya Juni 14.   Kwa mujibu wa FIFA Ronaldo atakuwa na jukumu la kupeleka uwanjani Kombe la Ubingwa wa Dunia ambalo mataifa 32 yaliyofuzu yatakuwa yanaliwania. ...

Read More »

Tuzo za Mo Awards Kutolewa leo

Tuzo za Simba Mo Awards zinafanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zitakuwa maalum kwa watu wa klabu hiyo waliofanikisha Simba kufanya vizuri kwa msimu wa 2017/18.   Wanachama, viongozi, mashabiki na matawi ya klabu hiyo yatahusishwa katika ugawajwi wa tuzo hizo zitazofanyika leo kuanzia saa 12 kamili jioni.   Kwa mujibu ...

Read More »

Wachambuzi wa Soka Wasema Alikiba Anaweza Kucheza Ulaya

Baadhi ya Wachambuzi wa Soka nchini akiwemo kocha  wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo  amesema msa­nii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama aki­andaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya.   Julio ameyasema hayo akiwa kocha wa Team Sa­matta mara baada ya kum­alizika kwa mchezo maalum wa kuchangia elimu ulio­andaliwa ...

Read More »

Magazetini leo Tarehe 11

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania June 11, 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.

Read More »

Core Aspects Of mybrides.net – The Basics

Your spouse shall offer A and you should offer B. You desire a mentally healthy wife. Therefore you are contemplating looking overseas for your perfect wife. The perfect wife ought for considered a virgin. You’ve got to choose the perfect wife like a businessman picks a company to put money into. Do the Following About Foreign Brides Beginning in the ...

Read More »

BAADA ya Simba kumtimua Kocha Mkuu, Mfaransa, Pierre Lechantre, mabosi wa timu hiyo wamefikia uamuzi wa kuikabidhi timu hiyo kwa Mrundi, Masoud Djuma Irambona ambaye atasaidiwa na mkongwe, Selemani Matola.   Djuma ambaye ndiye kocha msaidizi wa Simba kwa sasa, yupo na kikosi hicho mjini hapa Nakuru ambapo Simba inajiandaa kucheza mchezo wa fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup ...

Read More »

Makundi ya Timu 16 Ligi ya Timu za Vijana Zatajwa

DROO ya upangaji wa makundi kwa timu 16 zitakazoshiriki ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U20) ijulikanayo kwa jina la ‘Uhai Cup’ imefanyika jana ndani ya studio za Azam TV.   Ligi hiyo inayoanza rasmi Juni 9, mwaka huu katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma jijini Dodoma itashirikisha timu za vijana wenye umri huo kutoka katika ...

Read More »

Simba Yatanguliza Mguu Mmoja Uingereza

Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4. Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 Simba watacheza fainal na Timu ya For Mania ya Kenya Ambapo ...

Read More »

Critical Elements In easterneuropeanwomen.info – What’s Needed

Everything You Should Do to Learn About Meet Single Women Before You Are Put Aside By the initial minutes on the site, that you never lack ladies to talk with. To begin with, ladies from all across the world submit their application to the site. Generally, dating Ukrainian ladies is just a lot of fun! Need to Know More About ...

Read More »

Lipuli Fc Wamng’ang’ania Kocha wao Amri Saidi

Baada ya kutia kandarasi ya mwaka mmoja na Mbao FC, uongozi wa Lipuli wasema wanatambua kuwa kocha Amri Said ‘Stam’ bado ana mkataba na timu yao. Mwenyekiti wa Lipuli, Ramadhani Mahano, amefunguka na kusema wao wanatambua kuwa Stam ni kocha wao huku akisema hawajapata taarifa rasmi za kuondoka kwake. Wakati Stam akiondoka Lipuli, kocha huyo alieleza kuwa tayari ameshaagana na ...

Read More »

Salamba Kuanza kazi Simba leo

Mchezaji mpya aliyesajiliwa Simba, Adam Salamba, leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Kakamega HomeBoyz FC katika mashindano ya SportPesa Super Cup mjini Nakuru, Kenya. Salamba alishindwa kujiunga na Simba tangu mwanzo wa mashindano kutokana na kuelezwa kuwa alikuwa anakabiliwa na matatizo ya kifamilia. Jana usiku mchezaji huyo aliyesajiliwa kutoka Lipuli na kusaini mkataba wa miaka miwili, aliwasili ...

Read More »

Simba sc Kuwalipia Kisasi Yanga

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha. Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo huo wa hatua ya nusu fainali itakayoanza majira ya saa 9 kamili mchana. Kakamega walifuzu kufika fainali baada ya kuifunga ...

Read More »

Fred kufanyiwa vipimo kukamilisha usajili Man United

Kwa mujibu wa vyanzo vya sky sports ya nchini Uingereza vinaeleza kuwa mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Fred anayechezea klabu ya Shakhtar Donesk ya nchini Ukraine anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya jumatatu hii ili kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Manchester United Fred aliingia uwanjani dakika 8 kabla ya mpira kumalizika kwenye mechi ya kirafiki kati ya Brazil vs Croatia ...

Read More »

Baada ya Yanga Sc Kuchezea Kichapo, Leo ni Zamu ya Simba Sc

Baada ya Yanga Sc kutupwa nje kwenye mashindano ya Super cup nchini Kenya kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Kakamega Homeboys, leo ni zamu ya Simba SC kutupa karata yake ya kwanza katika michuano ya hiyo ya Super Cup inayoendelea Nakuru nchini Kenya watacheza na .Kariobang Sharks majira ya saa tisa alasiri Kuelekea mechi hiyo, Simba wamedhamiria kupigania matokeo chanya ...

Read More »

STAA wa Misri, Mohamed Salah, atakosa mchezo mmoja tu wa Kombe la Dunia baada ya hapo atakuwa fiti. Salah aliumia bega kwenye mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya kuumizwa na Sergio Ramos.   Hata hivyo, kulikuwa na hofu kuwa staa huyo atashindwa kucheza fainali hizo lakini sasa imefahamika kuwa atakwenda na kukosa ...

Read More »

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya. Zidane aliambia mkutano na vyombo vya habari kwamba kila kitu kinabadilika na kwamba hiyo ndio sababu ya uamuzi wake Anaondoka baada ya kuisaidia klabu hiyo kushinda mataji matatu ya klabu bingwa na taji moja la ligi ya La Liga tangu achukue hatamu mnamo ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons