Tag Archives: tanzia

Tanzia: CCM Yapata Pigo, Guninita Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Taifa na baadaye akawa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amefariki dunia leo Alhamisi, Septemba 13, 2018 alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na mdogo wake na marehemu, Gerald Guninita ambaye naye aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo ...

Read More »

Koffi Annan kuzikwa Ghana, Alhamisi

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, umewasili katika nchi Ghana. Mwili wake umewasili katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Kotoka uliopo mjini Accra, ukisindikizwa na familia yake na maafisa wengine wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuzikwa kitaifa siku ya Alhamisi ya Taehe 13, September 2018 Kulikuwa na hali ya maombolezowakati mwili wake ukiwasili uwanjani ...

Read More »

Tunatoa Pole kwa Mama Mzazi wa Mbunge ‘Sugu’ Ambaye Amefarik Dunia Jana

Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu. Uongozi wa Jamhurimedia unatoa pole kwa mbunge Sugu pamoja na Familia yake, Mungu hawaongoze kwenye kipindi hiki Kigumu.  

Read More »

Tutaendelea Kumkumbuka Kofia Annan

Jana August 18, 2018 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki jana Agosti 18 nchini Uswisi akiwa na umri wa mika 80 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Inaelezwa kuwa Annan ambae alikuwa ni Raia wa Ghana anatajwa kuwa Mtu wa kwanza mweusi kutoka Afrika kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutoka mwaka 1997 mpaka mwaka ...

Read More »

MAJIMAREFU KUAGWA KESHO DAR, NA KUZIKWA ALHAMISI YA TAREHE 5/07/2018, KOROGWE, TANGA

Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu enzi za Uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, utaagwa kesho Julai 4, 2018 na baadaye mwili kusafirishwa kuelekea jimboni kwake Korogwe kwa ajili ya maziko Julai 5,2018. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga Hillary ...

Read More »

TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala.   Taarifa hiyo imethibitishwa na msambazaji wa nyimbo zake ambaye pia Meneja wa ‘Team Mtaa kwa Mtaa’, Amri the Business aliyeeleza kwa masikitiko ...

Read More »

Mbunge wa CHADEMA amefariki

Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha Marehemu Bilango alikua anakabiliwa na maradhi ya utumbo, ambapo alisafirishwa kwa ndege maalum kutoka Dodoma kuja Dar es Salaam siku ya jumanne. Mwalimu Bilago amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa huo kwa wiki ...

Read More »

TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Jack ‘Africa’ Chamangwana afariki dunia afariki dunia

Kocha wa zamani wa Yanga, Jack ‘Africa’ Chamangwana amefariki dunia jana jioni Mei 6, 2018 baada ya kuugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Malkia Elizabeth jijini Blantyre. Kocha huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 61 ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu. Chamangwana aliyeifundisha Yanga mwanzoni mwa miaka ya 2000, alikuwa pia nyota wa zamani wa timu ...

Read More »

Tanzia: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abbas Kandoro afariki dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia leo Ijumaa Aprili 27, 2018 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Awali alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kabla ya kustaafu utumishi wake, Kandoro alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambapo alipokelewa kijini ya Amos Makalla. Mpaka kustaafu kwake, Abbas ...

Read More »

MDOGO WA MBUNGE JOHN HECHE ACHOMWA KISU NA POLISI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikiliwa Koplo Marwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Suguta Chacha akiwa chini ya Ulinzi. Akielezea chanzo cha tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe amesema kuwa, kulitokea mabishano kati ya marehemu na askari huyo ambapo walikuwa wakijibizana kilugha, hali iliyopelekea baadhi ya askari kutokuelewa kilichokuwa kikizungumza, ndipo ...

Read More »

NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Read More »

TANZIA: Agness Gerald ‘Masogange’ afariki dunia

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Agness Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia jioni ya leo Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge, jijini Dar es salaam. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na ndugu wa karibu na marehemu, Dick Sound ambaye amesema mwili wa marehemu unasafirishwa jioni hii kwenda kuhifadhiwa mochwari- Muhimbili. Wiki tatu zilizopita marehemu alishindwa kuhudhuria ...

Read More »

Mke wa Rais wa 41 wa Marekani afariki dunia

Mke wa Rais wa 41 wa Marekani, George HW Bush na maa wa Rais wa 43 wa nchi hiyo George W Bush amefariki dunia akiwa na umri wa miaka. Barbara Bush, ambaye mume wake amekuwa rais tokea mwaka 1989 to 1993, alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu kabla ya kukutwa na umauti. Barbara amekuwa mke wa Rais Bush na ...

Read More »

Aliyekuwa Mlipaji Mkuu wa Serikali afariki dunia

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bw. Ramadhani Musa Khijjah (65), amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Aprili 17 katika eneo la Jet Lumo, wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam. Maziko yatafanyika leo Aprili 18, katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, saa 10 jioni. ...

Read More »

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki. Mwanasiasa huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Ken, kama alivyojulikana nchini Kenya ameaga dunia katika Hospitali moja ya kibinafsi ya Karen, iliyoko Jijini Nairobi. Ken Matiba ambaye ni maarufu katika siasa za ukombozi wa pili wa kisiasa nchini Kenya, baada ya ile ya Uhuru miaka ya 1950s ...

Read More »

KUFUATIA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT, RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Februari 16, 2017 eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Katika salamu hizo, Rais Dkt Magufuli amesema kwamba amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo hicho ...

Read More »

TANZIA: Kiongozi Mkuu wa Upinzani wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai Afariki

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini. Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa chama cha MDC, Tsvangirai mwenye umri wa 65, na aliyewahi kushika nafasi ya Uwaziri mkuu nchini Zimbabwe ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na Saratani ya utumbo. Makamu Rais wa chama chama cha MDC Elias Mudzuri ameliambia Shirika la Habari la Uingereza Reuters ...

Read More »

Tambwe Hiza kuzikwa Leoa, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam

MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi asubuhi nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi katika Makaburi ya Temeke Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Kaka wa marehemu aitwaye Charles Tamilway amesema kuwa taratibu za kuuhifadhi mwili wa kaka yake katika nyumba yake ya milele zipo zimekamilika ...

Read More »

TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AMEFARIKI DUNIA

  TANZIA Mwanasiasa Tambwe Hizza amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Tambwe Hizza alikuwa katika timu ya waratibu wa kampeni za mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu.

Read More »

Kwaheri Kamanda Mlay

KANALI TUMANIEL NDETICHIA MLAY (1942 – 2018)   Nilipata mshituko mkubwa na kushikwa na majonzi pale niliposikia katika simu yangu ya kiganja, Kanali Lameck Meena akisema, “Jambo Sir, umesikia habari za kifo cha Kanali Mlay Sir?” Nilimjibu kwa mshangao, “We Meena ati nini? Nani kafariki?” Ndipo Kanali Meena akarejea kuniarifu kuwa Kanali Mlay amefariki dunia usiku, nyumbani kwake Moshi. Hii ...

Read More »

ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake. Zitto Kabwe amesema CHADEMA wanapaswa kusitisha Kampeni mpaka Mzee huyo atakapozikwa, mzee Kingunge alikuwa na mwanachama wa CHADEMA baada ya kukihama ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons