“Mtanzania wa leo hawezi kununua watu bila kwanza yeye kununuliwa.”

Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa katika ukurasa wa 116 katika kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu Nyerere aliyezaliwa mwaka 1922. Alifariki dunia Oktoba 14,1999.

Dk. Magufuli – Msimamo

“Sijaribiwi na sitajaribiwa.”

Nukuu hii ilitolewa na Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Magufuli akielezea msomamo wa utendaji wake.

Mandela – Muda

“Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi.”

Nukuu hii ilitolewa na Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela.

Kennedy – Ushindi

“Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima.”

Nukuu hii ilitolewa na aliyekuwa Raisi wa 35 wa Marekani John F. Kennedy ambaye aliuwa November 22, 1963 akiwa raisi wa nne kuuawa kwa  kupigwa risasi katika historia ya Marekani.

1020 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!