JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2022

Majaliwa:Elimu zaidi itolewe kuhusu saratani shingo ya kizazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri Kuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na za binafsi zishirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ili kuokoa maisha ya wanawake na kuepuka madhara yatokanayo na saratani hiyo….

DC Nanyumbu apiga marufu jandao na unyago

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Nanyumbu KUTOKANA na bei ya zao la mahindi kupanda mara dufu kutoka Sh.6,000 hadi kufikia sh.14,000 kwa debe moja katika wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara,mkuu wa wilaya hiyo Zainabu Chaurembo,amepiga marufuku kufanyika kwa shughuli za jando na unyago…

‘Wizara ya Maji ina jukumu la kuhakikisha nchi inakuwa na maji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Singida WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso,amezindua jengo la ofisi kuu ya Bonde la Kati zilizopo mjini Singida na maabara za ubora wa maji na kuyataka mabonde mengine kwenda kujifunza utendaji mzuri wa kazi unaofanya na viongozi wa bonde…

Waziri Mkenda aunda tume kuchunguza utoaji mikopo kwa wanafunzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakati dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023likiwa wazi kwa muda wa siku 70 kuanzia Julai 19 hadi Septemba 30 mwaka huu Serikali imetangaza Tume ya watu watatu kuchunguza utoaji wa mikopo. Tume…

Bashungwa awasimamisha kazi watumishi watano Kiteto

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kiteto Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMIA), Innocent Bashungwa ameagiza watumishi watano kusimamishwa kazi na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kuisababishia hasara…