Category: MCHANGANYIKO
Ado Shaibu afanya mazungumzo na mama lishe
Katika mwendelezo wa programu ya kukutana na makundi mbalimbali kwenye jamii, jana tarehe 25 Oktoba 2025, mgombea wa Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu Ado amekutana na kufanya mazungumzo na Mama Lishe wa Tunduru Kaskazini kwa ajili ya…
Bila uamuzi mgumu Ngorongoro itakufa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) mwaka 2017 ilifanya Sensa ya Idadi ya Watu na Mifugo kwa watu wanaoishi katika Tarafa ya Ngorongoro. Sensa hiyo ilikuwa maalumu kufanyika katika Tarafa ya…
Kibunda cha bilioni 426.5 kuwanufaisha wanafunzi 135,240 awamu ya kwanza
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeidhinisha Shilingi Billioni 426.5 awamu ya kwanza kwa ajili ya wanafunzi wanufaika 135,240 ili kugharamia masomo yao. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia, Oktoba 24, 2025,…
Bei elekezi ya madini ya vito kuchochea ukuaji uchumi – CPA Kasiki
Tume ya Madini kupitia Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini imekutana na wadau wa sekta ya madini wakiwemo wachimbaji, wanunuzi na wathaminishaji wa madini, kwa lengo la kupanga bei elekezi za madini ya vito, hatua inayolenga kuimarisha uwiano wa…
Viongozi wa dini Kanda ya Magharibi waazimia kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora VIONGOZI wa dini katika mikoa ya Kanda ya Magharibi wameazimia kuendelea kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao uliopangwa kufanyika oktoba 29, 2025. Kadhalika viongozi hao kutoka mikoa ya Tabora, Kigoma…





