Archives for Mtazamo - Page 2

Kituko tovuti ya BoT

Mpita Njia (MN) anakumbuka miaka ile ya enzi zao watu waliofanya kazi Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walionekana kama vile ni wateule wa Mungu. Walionekana wateule kwa sababu mazingira, aina ya kazi na mishahara yao viliwafanya wengi waamini kuwa hakuna…
Soma zaidi...

KIJANA WA MAARIFA (10)

Akiba haiozi, wekeza ukiwa kijana Wanasema akiba haiozi na ikioza hainuki. Nitafanya makosa makubwa kama nikiandika mambo mengi kuhusu vijana na nikakosa kuongelea kuhusu kijana na uchumi. Ni wazi kwamba pesa katika maisha yetu haikwepeki. Tangu unapoamka mpaka pale unaporudi…
Soma zaidi...

KIJANA WA MAARIFA (8)

Shukrani ni jukumu la kufanyika haraka   “Hakuna jukumu linalohitajika kufanyika haraka kama kurudisha shukrani,” alisema James Allen. Kushukuru ni kuomba tena. Shukrani ni kurudisha fadhila ya kuona umefanyiwa kitu cha thamani na mtu ambaye anaweza kuwa rafiki yako, ndugu,…
Soma zaidi...

KIJANA WA MAARIFA (6)

Acha kufanya mambo kwa mazoea Binti mmoja alizoea kumuona mama yake ambaye kila alipotaka kupika samaki alimchukua samaki na kumgawanya katikati ndipo alipoanza kumpika. Jambo hilo lilimfanya binti yule atake kujua kwanini mama yake kila alipopika samaki alimgawanya katikati. Siku…
Soma zaidi...

KIJANA WA MAARIFA (5)

Ukijificha fursa nazo zinajificha Kuna watu wanajua mambo mengi lakini hawataki kutoka nje na kuonyesha yale waliyojaliwa. Kuna watu wana ujuzi mkubwa lakini hawataki kuonyesha ujuzi wao. Kuna watu wana mawazo mazuri ya biashara lakini hawataki kuanza kuyafanyia kazi. Kila…
Soma zaidi...
Mtazamo

Hii Barack Obama vipi?

Mpita Njia (MN) anawapongeza viongozi wote walioandaa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mkutano huo umeshuhudia Rais John Magufuli akikabidhiwa kijiti cha kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo muhimu sana kwa nchi za kusini mwa Afrika.…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons