page za ndani

Ushauri Wangu kwa Dk. Kigwangalla

Kwenye vitabu vya dini tumezuiwa kujisifu, lakini hatukatazwi kutangaza mafanikio. Ndiyo maana nakiri kuwa miongoni mwa wadau tuliosimama imara kuhakikisha tunaondoa ukiritimba wa Chama cha Wamiliki wa Kampuni za Uwindaji wa Kitalii Tanzania (TAHOA), kutoka kwenye mizengwe ili kiwe na manufaa kwa Watanzania na kwa Taifa letu kwa jumla. Kuna wakati mwekezaji mmoja raia wa kigeni alikuwa akimiliki vitalu ambavyo ...

Read More »

Mauaji Yaongezeka Yemen

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo watu 14  wa familia moja na kuacha simanzi kubwa katika familia hiyo. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Jamie McGoldrick amesema mapigano yanayoendelea nchini humo ni ya hatari na kuhuzunisha kiasi cha kuhitaji msaada kutoka jumuiya za ...

Read More »

China Yapuuza Vikwazo vya UN

Rais wa Marekani Donald Trump ameilaumu nchi ya China kwa kukiuka vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuzipa matuta meli za nchi hiyo. Rais Trump aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa China imeshuhudiwa ikiruhusu mafuta kusafirishwa kwenda Korea Kaskazini na kusema amekatishwa tamaa na kitendo cha nchi hiyo kukiuka maazimio ya UN. Rais huyo ...

Read More »

Lusinde Ajivunia Mtoto ‘Kipanga’

Kuna usemi usemao unapopima maendeleo ya mtu usiangalie alipo, angalia mahali alipotokea. Usemi huo ndiyo unayagusa maisha ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), hususani katika muktadha wa elimu. Lusinde amekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera, Mkoani Dodoma katika vipindi viwili, akianza utumishi huo kwa wanamtera tangu uchaguzi wa 2010. Katika uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi alimshinda aliyekuwa Mbunge ...

Read More »

2018 UTUMIKE KUJADILI MASUALA

LEO ni siku ya nne ya mwaka mpya wa 2018. Ni wakati wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia afya, uhai, nguvu, akili na ubunifu, miongoni mwa vingine  vinavyochangia kuharakisha maendeleo na ustawi wa watu. Watanzania wameungana na watu wa mataifa mengine kuupokea mwaka mpya, kujitafakarisha kuhusu mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika nyanja tofauti kwa kipindi cha mwaka 2017 na kukabiliana ...

Read More »

Kimara-Bonyokwa Inapotelekezwa!

Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya, wasomaji wa JAMHURI. Ni jambo jema kusema, “inatupasa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuuvuka mwaka 2017 salama.” Pamoja na salaam hizo, mwaka mpya unaibua matumaini mapya, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau. Ndivyo Mpita Njia ninavyotarajia, kamba 2018 itakuwa mwaka wenye kuleta tumaini la heri kwa wakazi wa eneo la kuanzia Kimara ...

Read More »

SIASA INAPOKUWA CHANGAMOTO KWA VIONGOZI WA DINI

Kuanzia wiki iliyopita, Taifa limeghubikwa na hoja tofauti zinazolenga kuunga mkono ama kukosoa hatua ya viongozi wa dini kuzungumzia masuala ya siasa. Hali hiyo imechochewa zaidi baada ya Askofu Zakary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, kukosoa mwenendo wa utawala na utekelezaji wa misingi ya demokrasia nchini. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah ...

Read More »

GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NA DUNIANI, AMETANGAZWA KUWA RAIS

Gwiji wa soka barani Afrika na duniani, ametangazwa kuwa Rais wa Liberia na kuchukua mikoba ya Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika Ellen Johnson Sirleaf aliyemaliza muda wake. Ushindi wa Weah umetokea wakati kumbukumbu zikionesha kuwa mwaka 2005, aliwania kiti hicho na kushindwa katika raundi ya pili na Sirleaf. Mwaka 2011, Weah akashiriki tena Uchaguzi Mkuu nchini humo, akiwa mgombea ...

Read More »

Mbowe: CCM wamevuruga Uchaguzi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Uchaguzi Mdogo wa Madiwani 43 uliofanyika Jumapili umevurugwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimkakati, hivyo baadhi ya maeneo wamemua kujitoa ikiwamo Mkoa wa Manyara. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (pichani) ameliambia JAMHURI kuwa zamu hii CCM wametumia mbinu ya kuanzisha utaratibu wa kuwapa barua maalum za utambulisho mawakala wa vyama, ambapo wale wa ...

Read More »

Kigogo wa CCM anaswa uraia

  Kigogo CCM anaswa uraia *Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), anadaiwa kuwa si raia wa Tanzania, uchaunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiboye ambaye anajulikana ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons