DG aanza kazi Bandari

Baada ya gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi wiki iliyopita kuonyesha udanganyifu unaofanywa na baadhi ya maafisa wa Bandari ya Dar es Salaam, hali inayoipotezea mapato Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wiki moja tu, hali imebadilika. Bandari ya Dar es Salaam sasa imejaza mzigo wa makontena na magari kwenye yadi zake, hali inayotafsiriwa kuwa…

Read More

Mkataba ‘tata’ Bima, Bakita

Mkataba wa mauziano ya nyumba kati Shirika la Bima la Taifa (NIC) na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), uliofanyika Oktoba 8, 2009 unadaiwa kuwa ni batili kwa kuwa taasisi iliyonunua haina uhalali kisheria. Mkataba huo unahusu nyumba zilizoko eneo la Kijitonyama, Dar es Salaam viwanja namba 75-78 kitalu namba 45 ‘B’ ukihusisha hati namba…

Read More

Matumizi yazidi mapato serikalini

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli ikiwa na mikakati ya kupunguza matumizi ya fedha za umma yasiyokuwa na lazima kwa lengo la  kuwaletea wananchi maendeleo, kwa upande wake imeingia katika matumizi yanayozidi kiasi cha mapato yanayokusanywa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa bajeti ya…

Read More

Madini yatishia amani Morogoro

Wananchi wa Kitongoji cha Epanko ‘A’, Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, wamelazimika kuyakimbia makazi yao, huku wakilalamikia utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa madini ya graphite kwamba haukuzingatia mambo mengi yanayohusu maisha ya walengwa. Baadhi ya wananchi wa kitongoji hicho wameyakimbia makazi yao kutokana na kutishiwa maisha. Wakazi hao wanatafutwa na Jeshi la Polisi kutokana…

Read More

Changamoto za kufufua meli zinatisha

Pamoja na Serikali kuonesha nia njema ya kutaka kurudisha huduma za usafiri majini katika maziwa makuu, kwa kutumia vyombo vya umma yaani kuifufua Marine Services Company Limited (MSCL), tatizo bado lipo.  Serikali inategemea kutoa fedha kwa ajili ya kufufua meli mbili katika Ziwa Victoria na kufanya matengenezo makubwa kwa meli moja katika Ziwa Tanganyika. Serikali…

Read More

Kimenuka Bandari

Bandari ya Dar es Salaam inapoteza wastani wa Sh bilioni 200 kwa mwaka kutokana na mtandao wa wizi ‘unaouza kazi’ na vyanzo vya mapato kwa wafanyabiashara binafsi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI unaonyesha nyaraka mbalimbali zilizopelekwa kwa wakubwa zimeorodhesha majina, mtandao wa wizi unavyofanyika na hasara inayopatikana ambapo kwa mwaka 2015 pekee Bandari ilipoteza wastani wa…

Read More