Archives for Siasa - Page 2

Ugaidi Tanzania

Serikali imetakiwa iwe makini kuhakikisha inavitumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama na wananchi kukabiliana na tishio la makundi ya kigaidi, hasa al-Shaabab kutoka Somalia. Mbunge wa Kigoma Kusini - NCCR-Mageuzi, David Kafulila ameliambia JAMHURI kwamba Tanzania inapaswa kuwa makini.…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons