Category: Michezo
Aliyekuwa mhasibu KMC FC afikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa
Aliyekuwa Mhasibu wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC), Bw. Atulinda Barongo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na tuhuma za uhujumu uchumi. Bw. Barongo anashtakiwa kwa…
Let Matampi na Coastal Union lugha gongana
Na Isri Mohamed KLABU ya Coastal Union imetangaza kuachana na mlinda lango wao, Ley Matampi Raia wa Congo kwa makubaliano ya pande zote mbili. Matampi alijiunga na Wagosi wa Kaya mnamo Agosti 2023, akiwa na miaka 34 na kuonesha kiwango…
Coast City yafana Kibaha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali kupitia wizara ya elimu itaangalia namna ya kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani, Kibaha Mjini, mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kushiriki…
Tanzania yapanda Kenya yashuka katika orodha mpya ya FIFA duniani
Timu ya taifa ya Kenya ya mpira wa miguu Harambee Stars imeshuka kwa nafasi mbili katika viwango vya hivi punde vya FIFA vilivyotolewa Alhamisi na Shirikisho la Soka Duniani. Timu ya taifa ya kandanda sasa iko katika nafasi ya 108,…
Nyota ya Mbappe yafifia Real Madrid Wakiyumba Ligi ya Mabingwa
Mabingwa mara 15 wa Ulaya, Real Madrid, wanakabiliwa na changamoto kubwa baada ya kupoteza mara tatu katika mechi tano za Ligi ya Mabingwa. Baada ya kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Liverpool, wababe hao wa Uhispania wapo katika nafasi ya…
Simba afanya ubaya ubwela kwa Bravos FC
Na Isri Mohamed, Jamhuri Media Dakika 90 za mtanange wa kombe la shirikisho barani Afrika ( CAFCC ) Kati ya Simba SC vs Bravos Fc zimemalizika kwa Mnyama kupata ushindi wa bao moja kwa nunge. Mtanange huo wa Hatua ya…